Je, Kinachoendelea kitazidisha chuki kati ya Tanganyika na Zanzibar?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.

Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?

Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.

Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?

Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
 
Mwaswali yako ya kibaguzi na kijinga sana.
Madai ya watanzania siyo kuwa huyu mama ni mzanzibari. Watu wanakataa rushwa, ufisadi, utekaji, wanataka haki, na katiba mpya. Wapi wamesema wana andamana sababu huyu mama ni mzanzibari? Wakati wa Magufuli maandamano hayakuhamasishwa japo yalifeli?. Hii haina uhusiano na uzanzibari wake.
 
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.

Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?

Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.

Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?

Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
Unaandika nonsense
 
Umeongea ukweli hii vita ni ya Watanganyika dhidi ya Wazanzibari waliokwapua madaraka ya Tanganyika baada ya kuingia huyu Mama naamini hata Kikweta anajuta huko aliko
 
Watu sasa mnaanza kazi ya kupika sumu.

Mkitako hapo tena ije waislamu ndio shida katika uongozi.

Wakati genge la Samia lina kila aina ya mtazania wa makabila maeneo na dini.

Majizi hayana eneo
Ndugu yangu huwezi kuukimbia ukweli hata kama mchungu vipi,ila kwa Waisilamu wenye akili hawakubali huu ujinga wako kwa ajili ya kuikomboa inchi yao tofauti na Mashekhe ubwabwa wajinga ambao wao wako tayali kusimama penye pesa
 
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.

Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?

Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.

Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?

Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
Mbona Mwinyi aliongoza? Kosa la Samuya ni ukatili, mauaji na ufisadi bila kusahau kung'ang'ania madaraka.
 
Ndugu yangu huwezi kuukimbia ukweli hata kama mchungu vipi,ila kwa Waisilamu wenye akili hawakubali huu ujinga wako kwa ajili ya kuikomboa inchi yao tofauti na Mashekhe ubwabwa wajinga ambao wao wako tayali kusimama penye pesa
Hakuna maaskofu walio mu-endorse Samia?

Uongozi wa NEC umejaa wazanzibari.

Shida yetu ni katiba na madaraka ya raisi, otherwise kuna willing participants wengi tu kwenye udhalimu kutoka bara na wanashirikiana na Samia.

Mzee Wassira na Makonda nao ni wazanzibari.
 
Udini mkianza mtakimbia wapi ? Wakati Wakenya wenyewe mmewafukuza? Mozambique,na Congo ndio kwanza hawatupendi kudadadeki
 
Hakuna Raisi aliyefanya ufisadi, utekaji,uaaji na utaifishaji kama MAGUFULI lkn watu hawakufika hatua hii, huyu nivile jinsia yame tu ndowanamchezea hivi,
 
Umeongea ukweli hii vita ni ya Watanganyika dhidi ya Wazanzibari waliokwapua madaraka ya Tanganyika baada ya kuingia huyu Mama naamini hata Kikweta anajuta huko aliko
Ni kweli mnadhimu wa jeshi(Cheif of staff) ni Mzanzibar?
 
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.

Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?

Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.

Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?

Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
Devide and rule tacticts, imepitwa na wakati, watanzania hawana shida na mtu wa zanzibar wanashinda na mfumo, chama na watu wake ambao wana support kugandamizwa kwa maslah yao binafsi
 
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.

Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?

Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.

Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?

Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
We umeshaona wapi Marais wa pande zote wote ni Wazenji?...

As Zanzibarians, We run the Country🤣🤣🤣

Mitano tena ya ukakika kwa Mama Samia Suluhu Hassan🤣
 
Back
Top Bottom