figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Unaandika nonsenseWatu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?
Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.
Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?
Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
Umeongea ukweli hii vita ni ya Watanganyika dhidi ya Wazanzibari waliokwapua madaraka ya Tanganyika baada ya kuingia huyu Mama naamini hata Kikweta anajuta huko alikoWatu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?
Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.
Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?
Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
Ndugu yangu huwezi kuukimbia ukweli hata kama mchungu vipi,ila kwa Waisilamu wenye akili hawakubali huu ujinga wako kwa ajili ya kuikomboa inchi yao tofauti na Mashekhe ubwabwa wajinga ambao wao wako tayali kusimama penye pesaWatu sasa mnaanza kazi ya kupika sumu.
Mkitako hapo tena ije waislamu ndio shida katika uongozi.
Wakati genge la Samia lina kila aina ya mtazania wa makabila maeneo na dini.
Majizi hayana eneo
Mbona Mwinyi aliongoza? Kosa la Samuya ni ukatili, mauaji na ufisadi bila kusahau kung'ang'ania madaraka.Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?
Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.
Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?
Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
Hakuna maaskofu walio mu-endorse Samia?Ndugu yangu huwezi kuukimbia ukweli hata kama mchungu vipi,ila kwa Waisilamu wenye akili hawakubali huu ujinga wako kwa ajili ya kuikomboa inchi yao tofauti na Mashekhe ubwabwa wajinga ambao wao wako tayali kusimama penye pesa
Ni kweli mnadhimu wa jeshi(Cheif of staff) ni Mzanzibar?Umeongea ukweli hii vita ni ya Watanganyika dhidi ya Wazanzibari waliokwapua madaraka ya Tanganyika baada ya kuingia huyu Mama naamini hata Kikweta anajuta huko aliko
Sema hoja yako sasa. Unataka kusemaje?Maswali ya kijinga sana, bila shaka wewe ni muislamu
Devide and rule tacticts, imepitwa na wakati, watanzania hawana shida na mtu wa zanzibar wanashinda na mfumo, chama na watu wake ambao wana support kugandamizwa kwa maslah yao binafsiWatu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli?
Ufisadi na Wizi wa kura umekuwepo hata kabla ya Samia kuwa Rais.
Je, Rais angekuwa Mtu wa Bara, Maandamano yangekuwepo?
Mbona Zanzibar hawaandamani wala kupinga uchaguzi?
We umeshaona wapi Marais wa pande zote wote ni Wazenji?...Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.