Copro mtego
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 619
- 796
Unajua wapo chama wangapi mtaani na wanacheza ndondo tu?Ayaaa chama ndo huyoo qnapokea zaidi ya mil 20 na mwalimu ndo huyoo qnapokea sio juu ya laki 7. Ko mchangue nyie sasa kipi ni kipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua wapo chama wangapi mtaani na wanacheza ndondo tu?Ayaaa chama ndo huyoo qnapokea zaidi ya mil 20 na mwalimu ndo huyoo qnapokea sio juu ya laki 7. Ko mchangue nyie sasa kipi ni kipi
Akili ni moja ya vipaji. Lakini akili itakuws idle isipopewa elimuHaya kama mada leta hoka tuone nini ni nini?
Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?
Waachishe shule watoto wako uwapeleke uwanjani, uone nini kimetokea mtumeAyaaa chama ndo huyoo qnapokea zaidi ya mil 20 na mwalimu ndo huyoo qnapokea sio juu ya laki 7. Ko mchangue nyie sasa kipi ni kipi
Watu hawajui maana ya elimu wanadhani ni kwenda shule, kumbe hata kuangalia try and error na experience kufanya na kukosea hence kujua nini hakifai na nini kinafaa pia ni elimu...; Hence in that token hakuna mtu ambae anaweza survive kwenye mazingira yake na hana elimu ya mazingira hayo...Kipaji bila elimu...una kipaji sawa Ila unakiendelezaje=elimu
😀😀Inategemea ni kipaji gani, siyo kipaji cha kula.
kumbe hujaelewa mada ishu ni je kipaji kinalipa kuliko elimu. apo wewe unatakiwa kufanya tasmini kati ya hivi vitu viwili. hatujasema kama elimu ni muhimu kuliko kipaji ama fatilia leo bwana samata ana 0 ya mtihani wa form 4 lakini yukwapi now. hata ivi wanangu nikija kutambua vipaji vyao nitatia mkazo wa hali ya huu sanaWaachishe shule watoto wako uwapeleke uwanjani, uone nini kimetokea mtume
wamekosa support ko wewe kama mzazi ukisha jua mtoto wako anakipaj frani ambaxho kinamata basi mpe support. kama ilivyo kkwa shafii dauda ambar so mda ataanza ka matunda ya mwanae ambae amempa saportUnajua wapo chama wangapi mtaani na wanacheza ndondo tu?
Walikuwa wanalinganisha elimu na kipaji hapa mm sikatai kuendeleza kipaji lakini haimaanishi kudharau elimuwamekosa support ko wewe kama mzazi ukisha jua mtoto wako anakipaj frani ambaxho kinamata basi mpe support. kama ilivyo kkwa shafii dauda ambar so mda ataanza ka matunda ya mwanae ambae amempa saport
libebe la samata kwanza na O ya form four. libebe la Jemy vard na bila elimuWalikuwa wanalinganisha elimu na kipaji hapa mm sikatai kuendeleza kipaji lakini haimaanishi kudharau elimu
Huyo mtoto wa shafii dauda yuko academy uliza vp shule hajapelekwa?
Huwezi kuendeleza kipaji ukapuuzia elimu hamna mtu anafanyaga ujinga huo labda shule ikatae kabisa
Ndio kinalipa!Ila ukiongezea na elimu ni Noma inalipa zaidiHaya kama mada leta hoka tuone nini ni nini?
Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?
Uliza wametoboa baada ya muda gani na ni wangapi kati yao wametoboa?libebe la samata kwanza na O ya form four. libebe la Jemy vard na bila elimu
Kipaji kinalipa kulipo elimu, na sikubaliani na wewe hapo kwenye ufananisho wa kipato anachopata prof janabi na aziz kii.Kipaji kinakupa eneo la kutawala Ila elimu inakupa eneo la kwenda kufanya kazi
Kipaji ni kwenda extra mile ya kile mwenye elimu huishia.
Kuhusu kulipa
Hapa itategemea namna gani unaongeza value katika eneo lako
Mfano Prof Janabi pesa yake anayopata ni kubwa Sana hata Azizi K hawezi kuipata.
Hivyo Kupitia Elimu ukitengeneza value utalipwa Sana the same kipaji ukitengeneza value utalipwa Sana .
So nahitmisha ni vizuri MTU ukapambania kitu ambacho kitakupa thamani (value )iwe. Elimu au kipaji
Jamaa unachekesha sana unajua janabi anaingiza kias gani kwa mwezi acha kubishana kwa hisia mzeeKipaji kinalipa kulipo elimu, na sikubaliani na wewe hapo kwenye ufananisho wa kipato anachopata prof janabi na aziz kii.
Kwa sasa aziz kii anampita mbali sana huyo prof kwa kipato
Kipaji ni elimu anayozaliwa nayo mtu uimbaji ni somo linalofundishwa darajani stadi za kaziHaya kama mada leta hoka tuone nini ni nini?
Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?