Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

Je, kipaji kinalipa kuliko elimu?

Kipaji bila elimu...una kipaji sawa Ila unakiendelezaje=elimu
Watu hawajui maana ya elimu wanadhani ni kwenda shule, kumbe hata kuangalia try and error na experience kufanya na kukosea hence kujua nini hakifai na nini kinafaa pia ni elimu...; Hence in that token hakuna mtu ambae anaweza survive kwenye mazingira yake na hana elimu ya mazingira hayo...
 
Waachishe shule watoto wako uwapeleke uwanjani, uone nini kimetokea mtume
kumbe hujaelewa mada ishu ni je kipaji kinalipa kuliko elimu. apo wewe unatakiwa kufanya tasmini kati ya hivi vitu viwili. hatujasema kama elimu ni muhimu kuliko kipaji ama fatilia leo bwana samata ana 0 ya mtihani wa form 4 lakini yukwapi now. hata ivi wanangu nikija kutambua vipaji vyao nitatia mkazo wa hali ya huu sana
 
Unajua wapo chama wangapi mtaani na wanacheza ndondo tu?
wamekosa support ko wewe kama mzazi ukisha jua mtoto wako anakipaj frani ambaxho kinamata basi mpe support. kama ilivyo kkwa shafii dauda ambar so mda ataanza ka matunda ya mwanae ambae amempa saport
 
wamekosa support ko wewe kama mzazi ukisha jua mtoto wako anakipaj frani ambaxho kinamata basi mpe support. kama ilivyo kkwa shafii dauda ambar so mda ataanza ka matunda ya mwanae ambae amempa saport
Walikuwa wanalinganisha elimu na kipaji hapa mm sikatai kuendeleza kipaji lakini haimaanishi kudharau elimu
Huyo mtoto wa shafii dauda yuko academy uliza vp shule hajapelekwa?
Huwezi kuendeleza kipaji ukapuuzia elimu hamna mtu anafanyaga ujinga huo labda shule ikatae kabisa
 
libebe la samata kwanza na O ya form four. libebe la Jemy vard na bila elimu
 
libebe la samata kwanza na O ya form four. libebe la Jemy vard na bila elimu
Uliza wametoboa baada ya muda gani na ni wangapi kati yao wametoboa?
Wanaosapot watoto wao hawaachi elimu
Ww ungekuwa mzazi wa lamine yamal bila shaka ungemuachisha shule lakini bado anarudi kufanya mtihan pamoja na kwamba ni star mkubwa kwa sasa
 
Kipaji kinakupa eneo la kutawala Ila elimu inakupa eneo la kwenda kufanya kazi

Kipaji ni kwenda extra mile ya kile mwenye elimu huishia.

Kuhusu kulipa

Hapa itategemea namna gani unaongeza value katika eneo lako

Mfano Prof Janabi pesa yake anayopata ni kubwa Sana hata Azizi K hawezi kuipata.

Hivyo Kupitia Elimu ukitengeneza value utalipwa Sana the same kipaji ukitengeneza value utalipwa Sana .

So nahitmisha ni vizuri MTU ukapambania kitu ambacho kitakupa thamani (value )iwe. Elimu au kipaji
Kipaji kinalipa kulipo elimu, na sikubaliani na wewe hapo kwenye ufananisho wa kipato anachopata prof janabi na aziz kii.
Kwa sasa aziz kii anampita mbali sana huyo prof kwa kipato
 
Kipaji kinalipa kulipo elimu, na sikubaliani na wewe hapo kwenye ufananisho wa kipato anachopata prof janabi na aziz kii.
Kwa sasa aziz kii anampita mbali sana huyo prof kwa kipato
Jamaa unachekesha sana unajua janabi anaingiza kias gani kwa mwezi acha kubishana kwa hisia mzee
Unajua project moja ya professor ni kias gani anapata
 
Back
Top Bottom