Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Eti atapita ofisi moja hadi nyingine na kupewa cheti kingine,kirahisi rahisi tu cha form four,na six,hawezi akapewa cheti kingine tena.Kwanini hukuondoka na vitu vyako kabisa!!??
Au ulikuwa unatingisha kiberiti!?
Vyeti beba vyote yeye atapita ofisi Moja Hadi nyingine na atapewa vingine, si anaenda tu kupewa loss report.....
Kuachana ni pamoja na kufanya maamuzi ya busara na hekima, otherwise utaonekana unapenda drama tu.
Sema kweli!? Wanaopotelewa vyeti Huwa inakuwaje Hadi wanavipata Tena??eti atapita ofisi moja hadi nyingine na kupewa cheti kingine,kirahisi rahisi tu cha form four,na six,hawezi akapewa cheti kingine tena.
Ha ha haaaaKuna kipindi nilikuwa nawaona wanaume wanaopiga risasi wake zao ni wajinga ila kwa hili naona wapo sahihi.
Mtandikwe tu na mimi nasema mtandikwe tu kwa kuwa hamna namna tumechoka sasa.
Alienda kimaslahi akimwacha atakua ametumika bure.Kwanini usimwachie tu uanze upya?
cheti kama cheti huwa hakitolewi tena,wtakachokupa ni statement of results,sasa kama hujapata ajira hapo ndipo mziki utakuwepo,kwani kwenye utafutaji ajira huwa wana hitaji vyeti halisi.Sema kweli!? Wanaopotelewa vyeti Huwa inakuwaje Hadi wanavipata Tena??