Atariport viliibiwa anapata vipya tu sio issueIt's lady action again.....drama queen.
Haya najua wengi mtatukana weee lkn ndio nishaumbwa hivi sasa nitafanyaje?
Ipo hivi baada ya kutengana na mume kwa miez kama 4 hv, nimerudi na kudai vitu vyangu anazingua kunipa inabidi nibebe vyeti vyake vya shule kuanzia kuzaliwa, form four, diploma mpaka degree...lengo sio kukaa nacho lengo mpaka anipe haki yangu ndio nimpe ikiwemo na pesa nilizochangia kujenga nyumba ....
Je, kuna hatua zozote kisheria?
Anaweza kuchukua jamaa?