Je, kisheria hii imekaaje?

Atariport viliibiwa anapata vipya tu sio issue
 
Reactions: Luv
Kuna kipindi nilikuwa nawaona wanaume wanaopiga risasi wake zao ni wajinga ila kwa hili naona wapo sahihi.

Mtandikwe tu na mimi nasema mtandikwe tu kwa kuwa hamna namna tumechoka sasa.
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜€
 
Drama queen... haya endeleza drama zako.

-Kaveli-
 
Hapo umepambana kivyako lakini sheria haielekezi hivyo!
Jiridhishe kwanza kama hakuna uwezekano wowote wa ninyi kurudiana maana ugomvi wa wanandoa unaweza kususuluhishwa na maisha yakaendelea! nHivyo usiwe na pupa ya kufanya maamuzi yoyote yale!
Kama uwezekano wa kurudiana haupo , kwamba mmeitisha vikao vya suluhu vimeshindikana, nenda mahakamani fungua kesi ya kuomba talaka, wakati wa maamuzi ya hiyo kesi kile kilicho chako au ulichochangia jasho lako mgao wake utapewa kulingana na namna mahakama itakavyo jiridhisha kisheria!
 
cheti kama cheti huwa hakitolewi tena,wtakachokupa ni statement of results,sasa kama hujapata ajira hapo ndipo mziki utakuwepo,kwani kwenye utafutaji ajira huwa wana hitaji vyeti halisi.
Mh...
 
Bora umenifungua. Nianze j3
 
Unavipata vyote hivyo tena original
atapita ofisi moja hadi nyingine na kupewa cheti kingine,kirahisi rahisi tu cha form four,na six,hawezi akapewa cheti kingine tena.
 
Eti atapita ofisi moja hadi nyingine na kupewa cheti kingine,kirahisi rahisi tu cha form four,na six,hawezi akapewa cheti kingine tena.
Anavipata
sio kweli!!mimi nina ushahidi na hilo,labda kama huo utaratibu umeanza miaka hii ya karibuni.
Mwaka 2016 kuna mtu alipoteza na akaenda necta akapewa. Mimi mwaka 2018 nimepewa copy nyingine ya cheti cha form 6 baada ya cha awali kuibiwa.
Kuna utaratibu tu unapaswa uufuate
 
Anavipata

Mwaka 2016 kuna mtu alipoteza na akaenda necta akapewa. Mimi mwaka 2018 nimepewa copy nyingine ya cheti cha form 6 baada ya cha awali kuibiwa.
Kuna utaratibu tu unapaswa uufuate
ndio maana nikasema labda miaka hii ya karibuni,utaratibu umebadirika,mimi kuna mdogo wangu alipata ajari mwaka 2004,vyeti vyake vikapotea,bwana alipokwenda baraza la mitihani walimpa statement of results tu,wakasema cheti hakitolewi mala mbili,bahati nzuri alikuwa ameshapata kazi,haiku muathiri sana.
 
Nyie mtakuwa msharidiana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…