Je, kitendo cha Mnyika kususia Mdahalo Kwa sababu Dkt Nchimbi ana udhuru ni cha Kiungwana?

Je, kitendo cha Mnyika kususia Mdahalo Kwa sababu Dkt Nchimbi ana udhuru ni cha Kiungwana?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kwanza ikumbukwe kuandaa Mdahalo ni gharama!

Turudi kwenye mada, Katibu mkuu wa Chadema mh Mnyika amesusia Mdahalo Kwa sababu Dr Nchimbi hajahudhuria hali iliyopelekea Makatibu Wakuu wa CUF na ACT Wazalendo nao kususia wakimuunga mkono Mnyika

Je kitendo cha Mnyika kususia Mdahalo ni Cha kistaarabu?

Kwani kulikuwa na sharti la kolamu ya Makatibu Wakuu wote wawepo?

Maoni tafadhali 🐼

PIA SOMA
- News Alert: - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
 
Unadhani huu ni Mdahalo wa kwanza Viongozi wa CCM kutoshiriki?

Nakuhakikishia angekuwa ni Dr Slaa angeendelea na Mdahalo na angeitumia Fursa vizuri sana

Hata Heche asingesusa!

Mnyika hajakomaa kisiasa 🐼
 
Magufuli alikataa kabisa hela za watanganyika kutumika kwa mambo ya kipuuzi namna hii.

Gharama ya hii midahalo na makongamano uchwara ni kubwa sana
Kwa hiyo ulitaka gharama hiso zipelekwe zikanunue madawati?
 
Acha kuitoa fahamu eboo.
Kama hujui Siasa za Midahalo unaweza kudhani Mnyika yuko sahihi

Haikuwa Lazima Dr Nchimbi awepo kwa sababu yeye siyo mjibu hoja ila mshiriki wa kawaida tu kama Mnyika

Na ndio sababu ulikuwa ni Mdahalo wa Makatibu Wakuu Watano TU na Siyo wote 19
 
Wale waliompiga had akawa analia kwa nguvu huku anasema "mnaniuaa" kashawapeleka mahakamani?
 
Kama hujui Siasa za Midahalo unaweza kudhani Mnyika yuko sahihi

Haikuwa Lazima Dr Nchimbi awepo kwa sababu yeye siyo mjibu hoja ila mshiriki wa kawaida tu kama Mnyika

Na ndio sababu ulikuwa ni Mdahalo wa Makatibu Wakuu Watano TU na Siyo wote 19
Majibu ya maswali muhimu yote anayo Katibu wa chama tawala kama kachimba kuna maana gani?
 
Nchimbi hana udhuru, angetuma mwakikishi.

Ccm ni majambazi wasiopenda kuvuliwa nguo live
 
Fisiem wao wanajuaga kutumia tu wale wa requirement recruitment yao ni darasa la saba.

Ila mezan kupiga mdahalo hamnaga kitu kabisa kazi kuimba mbele kwa mbele na mishati yao mikubwa ya kijani
 
Kumchanganya Mchimbi kwenye meza moja na John Mnyika ni kumuonea Mchimbi ni sawa na Tyson kupigana na mandonga!

Nchimbi wakijaa Yutong 3 na macopolo moja ndo angalau Mnyika atajihisi yupo kwenye mdahalo ndo maana Mchimbi Kakodi boda na kusepa
 
Magufuli alikataa kabisa hela za watanganyika kutumika kwa mambo ya kipuuzi namna hii.

Gharama ya hii midahalo na makongamano uchwara ni kubwa sana
Magufuli alikuwa mjinga na mpuuz kama wewe mfuasi wake na huo ujinga na upuuzi umeendelea Kwa wajinga wenzio huko ccm akiwemo huyo dokta fake anayekimbia midahalo, eti dokta nchimbi labda dokta fake.
 
Back
Top Bottom