Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee, kumlinganisha Dr Slaa na hawa wengine ni kumshushia hadhi. Dr Slaa hakuhitaji uwepo wa mtu mwingine ili uwepo wake uonekane. Hawa kina Mnyika ni wanasiasa uchwara wanaotegemea uwepo wa mwanaccm ili nao wapate coverage.Nakuhakikishia angekuwa ni Dr Slaa angeendelea na Mdahalo na angeitumia Fursa vizuri sana
😂😂😂Bwashee, kumlinganisha Dr Slaa na hawa wengine ni kumshushia hadhi. Dr Slaa hakuhitaji ueepo wa mtu mwingine ili uwepo wake uonekane. Hawa kina Mnyika ni wanasiasa uchwara wanaotegemea uwepo wa mwanaccm ili nao wapate coverage.
Ila Dr. Nchimbi ndio amekomaa kisiasa kwa kutoonekana eneo la tukio hata kushindwa kutoa udhuru?!Unadhani huu ni Mdahalo wa kwanza Viongozi wa CCM kutoshiriki?
Nakuhakikishia angekuwa ni Dr Slaa angeendelea na Mdahalo na angeitumia Fursa vizuri sana
Hata Heche asingesusa!
Mnyika hajakomaa kisiasa 🐼