johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa hiyo ulitaka gharama hiso zipelekwe zikanunue madawati?Magufuli alikataa kabisa hela za watanganyika kutumika kwa mambo ya kipuuzi namna hii.
Gharama ya hii midahalo na makongamano uchwara ni kubwa sana
Kama hujui Siasa za Midahalo unaweza kudhani Mnyika yuko sahihiAcha kuitoa fahamu eboo.
Majibu ya maswali muhimu yote anayo Katibu wa chama tawala kama kachimba kuna maana gani?Kama hujui Siasa za Midahalo unaweza kudhani Mnyika yuko sahihi
Haikuwa Lazima Dr Nchimbi awepo kwa sababu yeye siyo mjibu hoja ila mshiriki wa kawaida tu kama Mnyika
Na ndio sababu ulikuwa ni Mdahalo wa Makatibu Wakuu Watano TU na Siyo wote 19
Ukumbini walikuwepo Wawakilishi wengi tu wa CCMMajibu ya maswali muhimu yote anayo Katibu wa chama tawala kama kachimba kuna maana gani?
Kumbe mnamuheshimu!!! πππWaambie Chama chako waache ujinga. Hiki mlichotumwa kufanya upotoshaji humu kinawadhalilisha tu. Wewe siyo wa kuonyesha utoto huu Kwa namna unavyoheshimiwa humu.
Sana tu πΌKumbe mnamuheshimu!!! πππ
Matumizi mabaya ya heshima. Miccm haistahili heshima yoyote.Sana tu πΌ
Acha mzaha ndugu,,,katibu mkuu ndo mtendaji mkuu wa chama usifananishe na chawaUkumbini walikuwepo Wawakilishi wengi tu wa CCM
Na unaona ni jambo jema akifanyiwa mwanaoWale waliompiga had akawa analia kwa nguvu huku anasema "mnaniuaa" kashawapeleka mahakamani?
Magufuli alikuwa mjinga na mpuuz kama wewe mfuasi wake na huo ujinga na upuuzi umeendelea Kwa wajinga wenzio huko ccm akiwemo huyo dokta fake anayekimbia midahalo, eti dokta nchimbi labda dokta fake.Magufuli alikataa kabisa hela za watanganyika kutumika kwa mambo ya kipuuzi namna hii.
Gharama ya hii midahalo na makongamano uchwara ni kubwa sana