Je, kiusalama, kuvaa vest ya kuzuia risasi, na kuacha kichwa, ambayo ni sehemu hatari zaidi, ikiwa wazi, mtu anakuwa amejilinda?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.

Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.

Kwa wenye uelewa tafadhali
 
Mzee unaujua mziki wa Headshot kwa long distance ? Kifua ni kipana na kinaweza kuinflict lethal damage, hata watu wanaoenda range wanajua kabisa ni rahisi kutumbukiza risasi kifuani kuliko kichwani.

1000056578.jpg
 
Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.

Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.

Kwa wenye uelewa tafadhali
......unavyojua!!!......vipi kama uko wrong na hujui kitu ?? Utakubali ? .....kazi ngumu sana kupiga kichwa lea snipers kuliko kifua au chemve au shingo.....mazoezi kulenga kichwa ....magumu sana huwekwa kuku 5 mmj anawekwa ramgi tofauti in a clean wire cage....ni balaa....inatosha ! Naishia hapa
 
Wewe sasa umetoa Siri y kambi😄
 
Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.

Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.

Kwa wenye uelewa tafadhali
Pale anazuia center mass, ambayo ni rahisi kulenga, kichwa sio simple kukipata. Duniani kote standard viongoz wengi wanavaa hivyo
 
Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.

Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.

Kwa wenye uelewa tafadhali
Kisa kavaa Lissu? Miaka yote watu wanavaa hujauliza SWALI lolote.
 
Back
Top Bottom