......unavyojua!!!......vipi kama uko wrong na hujui kitu ?? Utakubali ? .....kazi ngumu sana kupiga kichwa lea snipers kuliko kifua au chemve au shingo.....mazoezi kulenga kichwa ....magumu sana huwekwa kuku 5 mmj anawekwa ramgi tofauti in a clean wire cage....ni balaa....inatosha ! Naishia hapaNi katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.
Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.
Kwa wenye uelewa tafadhali
Wewe sasa umetoa Siri y kambi😄......unavyojua!!!......vipi kama uko wrong na hujui kitu ?? Utakubali ? .....kazi ngumu sana kupiga kichwa lea snipers kuliko kifua au chemve au shingo.....mazoezi kulenga kichwa ....magumu sana huwekwa kuku 5 mmj anawekwa ramgi tofauti in a clean wire cage....ni balaa....inatosha ! Naishia hapa
Pale anazuia center mass, ambayo ni rahisi kulenga, kichwa sio simple kukipata. Duniani kote standard viongoz wengi wanavaa hivyoNi katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.
Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.
Kwa wenye uelewa tafadhali
Kisa kavaa Lissu? Miaka yote watu wanavaa hujauliza SWALI lolote.Ni katika kusaidiana. Ninavyojua, kichwa ndio sehemu hatari na delicate sana kuliko sehemu nyingi za mwili, kwa kiasi kikubwa.
Je, vest ya kuzuia risasi inatosha bila kifaa kingine? Huwa naona Polisi/wanausalama/wanajeshi wanavaa na helmet pia.
Kwa wenye uelewa tafadhali
Iwe bhojo, olyempari!