Je, Kiusalama na Kiulinzi hiki ninachokiona sasa huku nchini Puerto Rico si hatari kwa Rais wetu?

Nijuavyo detail ya ulinzi ya kiongozi wa nchi karibu zote wanabeba silaha za moto
 
Hii ni kwasababu ya yanayotokea kabatini

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Puerto Rico ya Chattle

Lexus Mayai
 

Achana na waswahili hawa Ushamba mzigo kwao na wengi wao wamekosa Exposure na wakiamini wakikaa Dsm ndio maisha wamemaliza puuumbavu kabsa Komaa huko huko na Hongera usisahau kwenda Santo Domingo.
 
Pengine wadau hawajang'amua ulichomaanisha, hilo jina la nchi wala si hoja kwenye hoja yako sio? Hoja ni swali ulilouliza, sahihi?......ngoja tuendelee, watakuelewa tu.
mkuu wewe ni kunchelile kwali mwenga (ngindo) au jina tu lipo kidizaini hiyo
 
Hii Puerto Rico inayozungumzwa hapa siyo nchi ya wadanganyika kweli maana mkuu wa nchi ile juzi kwenye maonyesho ya tisatisa alikuwa full maaskari wenye masilaha.

Kiufupi hili jambo lina faida na madhara yake,tena makubwa!!

Madhara yake yanaweza kuwa ni nni mkuu
 
Kichwa cha habari na details zake inaonekana uko hapa hapa Tanzania mkuu sema tu unajificha ficha kwa kuwa hiyo story ni nzito mno wewe ndio unajua
 
Nini kimetokea..maana THE BOLD ni mtu makini kweli..lkn waropokaji naona "tupo" tu hatujui hata ban zinafananje[emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

the great
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…