Kanuni za ulinzi na usalama wa mkuu wa nchi ziko hivi: Kuna security alarm levels, na kila level ina kiwango chake cha ulinzi. Kwa kuangalia walinzi na nyenzo zao utajua nchi uko security alarl level gani. Pia utajua mkuu wa nchi yuko tayari kuchukua risk ya maisha yake kwa kiasi gani.
Hivyo, swali sio ama "ni afya au sio afya", bali ni justifiable kwa wakati huu, mahali hapa na kwa kiongozi huyu kupewa ulinzi wa kiwango hiki?
Tulioko hapa TZ ni muhimu uslama uongezwe kwa Rais. Tena siku ile, kama ningekuwa boss wa TISS, hata chopper ingebaki inafanya hovering muda wate mkulu akiwa anga zile....
Hope this helps...