Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kwa jinsi unavyochangia humu na hasa hasa kushikilia ' Bango ' kuhusu BAN ya ' Kamarada ' The Bold sasa kwa kujiamini kabisa tena kwa 100% nathibitisha kuwa Wewe ndiyo Yeye na hii ni ID yako nyingine. Tuliobobea katika ' Psychology ' tumeweza ' Kukung'amua ' kirahisi mno Mkuu. Pole sana kwa kupigwa BAN ila ni matumaini yangu kuwa muda mfupi tu ujao utarudi na ile ile ID yako ya ' Kijasusi ' ya The Bold. Hivi na Mimi nitafanyaje Mkuu ili niweze kuwa na ' multiple ' ID's humu JF kama Wewe na wengineo wengi.
You are wrong mkuu, hii ID yangu mimi Joseverest kama Joseverest na haina uhusiano wowote na ile ya The Bold.. Kumtetea The Bold kuhusu Ban kwani inamaanisha mimi ndio The Bold?? Hauko sahihi na ninakupinga kwa 100% zilizotukuka