Je, Kiusalama na Kiulinzi hiki ninachokiona sasa huku nchini Puerto Rico si hatari kwa Rais wetu?

Ni kawaida kwa sababu Rais amalindwa kwa gharama yoyote ila sema Kwa Tanzania tumeishazoea wale PSU kuliko hao PSG!
 
Swali zuri sana, nijuavyo siyo silaha zote zinakuwa na risasi,nyingi ni tupu tu,ila moja au mbili ndo zinakuwa na risasi hasa kwa wale walinzi walioaminiwa hasa.
 
Nasikia huko potoriko ni udikteta tuu.


Daini tume chama cha mapotoriko kitoke.
 
Pengine wadau hawajang'amua ulichomaanisha, hilo jina la nchi wala si hoja kwenye hoja yako sio? Hoja ni swali ulilouliza, sahihi?......ngoja tuendelee, watakuelewa tu.
Fasihi tamu sana
 
Hii Puerto Rico inayozungumzwa hapa siyo nchi ya wadanganyika kweli maana mkuu wa nchi ile juzi kwenye maonyesho ya tisatisa alikuwa full maaskari wenye masilaha.

Kiufupi hili jambo lina faida na madhara yake,tena makubwa!!
Kwa maelezo hayo nnauhakika umemuelewa mwenzetu alieko Puerto Rico. Puerto Rico anayoiongelea ndo hiyohiyo unayoidhania.
 
Kweli bongo vilaza wengi , yani wanashindwa kuielewa nch ya "Puerto Rico" mtoa mada aliyoimaanisha.

Mkuu hata mimi naish Puerto Rico , nilijiuliza swali hili nikakosa jibu, labda ni maagizo ya mwenyew kiongoz wetu Puerto Rico.
Madhara ya kutosoma yale masomo yanayodharaulika
 
Kuna mtu mmoja namjua hua anatembea kaning'iniza funguo ya gari kwenye lux ya suluali yake na hana hata baiskeli ni mpanda dala dala na msaga sole ya viatu.yote hiyo ni aina ya kutaka kuaminika mjini au kutaka kutapeli mahala.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mkuu leo nimekuelewa.iyo ni dalili ya mtu asiejiamini na asietenda yaliyo ya haki.
 
Sema mkuu Jose utakuwa mtu flan simple na free mind sana huwa nakuona unavyojibu kashfa na lugha kali very simple I like your life style bro
Kweli mkuu..nipo simple sana, huwa sitaki kujiingiza malumbanoni na mtu kisa kitu kidogo tu kama hiki, ndio maana namwambia poa au sawa au muda mwingine unakaa kimya..ni Jibu tosha

Thanks Mkuu
 
Anajua histoiria ya intelijensia,sidhani kama anaijua current
Namaanisha angetupa hata A B Cs kwa maana huwa namfuatilia kwenye simulizi zake zinazohusu Ujasusi na intelijensia...Naamini tungepata chochote
 
Mkuu ndio wanasema hivyo lakini hata mimi nilishangaa iweje ale BAN kwa maana kuna wengine huwa wanapost link lakini hawapigwi BAN..sikuelewa kiundani sana mkuu hii ishu imekaaje
 
ulitaka tujue uko puetarico



Njia hii ukiifuata utafika sehemu moja inatwa Kiabakari. Hapo ndio Puerto Rico.

Na ukiambaa ambaa na Mto Mara ukafika Wilaya ya Serengeti, ingia kata ya Kisaka. Kuna kijiji zamani kiliitwa Nyibokho, sasa hivi kinaitwa Costa Rica. Kule tunakula Kware wa porini na miwa, vitoga na kambale...raha sana Costa Rica
 
Wenye uelewa tumeelewa,ili siku ikija kutokea uwe nje ya kesi hongera sana,
 
Mambo ya usalama mimi siyajui nakumbuka wakati wa Nyerere kulikua hakuna mambo haya yule alikua Raisi kipenzi cha watu na alikua anajumika nao bila silaha kali. Sijui hawa wa sasa nini kimetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…