Je Kizimkazi ni Chatolite nyingine inayoanza kuchipua?

Je Kizimkazi ni Chatolite nyingine inayoanza kuchipua?

Duuh! Mbona haijatolewa taarifa rasmi mkuu? Mm niko Kigamboni naendelea kumtafuta
 
IMG_20241201_163814_638.jpg
IMG_20241130_140448_179.jpg
IMG_20241130_140911_939.jpg
 
Zanzibar ni kitovu cha utalii, Chatolite kilikuwa ni kisogo cha utalii.​
Unadhani ni ZnZ yote?
Mwishowe akiondoka madarakani itakuwa kama Chatto na International Airport yake sawa na Jiji fake mfu na International Airport yake Gbadolite ya hayati Mobutu.
 
Ni bora kiongozi anayejebga na kuwekeza Tanzania haijalishi ni upande gani wa nchi maana wataofaidika ni watanzania wenzetu kuliko angeenda kuwekeza Dubai au Ulaya.
 
Zanzibar ni kama ulaya tangu zama za sultan
 
Back
Top Bottom