Je Kizimkazi ni Chatolite nyingine inayoanza kuchipua?

Duuh! Mbona haijatolewa taarifa rasmi mkuu? Mm niko Kigamboni naendelea kumtafuta
 
Sasa wamempiga mtoto wa watu kisa nini
 
Zanzibar ni kitovu cha utalii, Chatolite kilikuwa ni kisogo cha utalii.​
Unadhani ni ZnZ yote?
Mwishowe akiondoka madarakani itakuwa kama Chatto na International Airport yake sawa na Jiji fake mfu na International Airport yake Gbadolite ya hayati Mobutu.
 
Zanzibar ni kitovu cha utalii, Chatolite kilikuwa ni kisogo cha utalii.​
Kwa tamadùni za kipwani kitovu huvishwa kidani ilihali kisogo hupumuliwa ,so which is which. Kupanga ni kuchagua
 
Ni bora kiongozi anayejebga na kuwekeza Tanzania haijalishi ni upande gani wa nchi maana wataofaidika ni watanzania wenzetu kuliko angeenda kuwekeza Dubai au Ulaya.
 
Zanzibar ni kama ulaya tangu zama za sultan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…