MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #21
Mama yako ndo anajua upumbavu wangu.Wewe ni mpumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yako ndo anajua upumbavu wangu.Wewe ni mpumbavu
CHADEMA walifanya juhudi zote ashinde shoga Askofu Bagonza mwenziye Lissu walilala pamoja 2020 kwenye campaign. Wametumia hela, wametumia redio, na TV, na whattssap, lakini wapi!! Sasa hawana raha, Askofu kakataa maandamano.Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.
Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.
Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Kweli kabisa.Dk. Shoo alii-annex KKKT ikawa tawi la chadema, Kitima na yeye anapambana kuifanya TEC iwe tawi la Chadema kama ilivyo Ba-VICHAA na Bawacha
KKKT iko chini ya CCT do not worryKKKT ni tofauti na RC. Malasusa hawezi wala hatarajiwi kuwaamrisha waumini wa KKKT wawe na msimamo gani kisiasa. Hata msimamo kiimani hawezi kuwalazimisha waumini wa KKKT wabadilike. Ni tofauti na RC ambao mara kwa mara utasikia wametoa waraka ambao unakuwa mwongozo kwa RC wote. Au Papa akitoa waraka unakuwa ni kama mwongozo kwa wakatoliki wote. Kwa kanisa la kilutheri hiyo haipo. Waluteri wanafahamu kama ni kiimani kitakachowapeleka mbinguni ni uhusiano wa mtu binafsi na Mungu wake na wala sio alivyojitahidi kufuata waraka uliotolewa na viongozi wake kama Askofu Mkuu au Papa
Wewe makalio mjinga, endelea na haya mazoea uone kile nitakufanyiaMama yako ndo anajua upumbavu wangu.
Kamtishe bibi yako wewe K.Wewe makalio mjinga, endelea na haya mazoea uone kile nitakufanyia
Wakati wa Shoo walikuwa Wapinzani wa ccm na Waungan mkono wa ChademaNinashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.
Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.
Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Hapana, mpinzani ni huyo mmoja kizazi cha NYOKANinashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.
Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.
Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Matawi ya CCM ndio hayo- polisi, wakurugenzi, cwt, bakwata, tiss, zitto, Lipumba, vile vyama vya siasa vile etc. Hawa jw wakifanya ile kazi ya chalamila jumatano nao rasmi watakuwa wamejiunga.Hata bakwata na polisi ni matawi ya CCM kipi cha ajabu
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]CHADEMA watajikuta wanakosana na kila taasisi na kujikuta wanabaki wanapuyanga wenyewe kama vichaa waliolaaniwa. CHADEMA ni lazima ujuwe kuwa kwa sasa hakuna anayeweza kuwaunga mkono kwa matusi na lugha chafu wanazowatupia viongozi wetu bila sababu. Vita wanayotaka kupigana na kanisa kwa hakika CHADEMA hawatafanikiwa zaidi ya kupata laana tu.
Khee!!!Godbless Lema ni mwanaCCM?
Ninashangazwa na wafuasi wa CHADEMA siku ya leo wakimshambulia kiongozi mkuu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania, Askofu Malasusa na kubaki na mshangao mkubwa. Lema na wanachama wengine waandamizi wameongoza mashambulizi makali dhidi ya kanisa na kiongozi wake. Inasikitisha sana.
Nimejiuliza je, KKKT ndo mpinzani mpya wa CHADEMA badala ya CCM? CHADEMA haioni kama inapoteza muda kushambulia kanisa? Haijui kuwa kiongozi wa kiroho anasikilizwa zaidi na watu kuliko kiongozi wa kisiasa? Askofu Malasusa kwa sasa ndo kabeba dhamana ya kuongoza waumini wote wa KKKT Tanzania na hivyo kumshambulia yeye ni kulishambulia kanisa zima. Athari zinazoweza kujitokeza ni CHADEMA kuzidi kupoteza zaidi kura zake kutoka kwa waumini wa KKKT.
Ninawashauri CHADEMA waache mara moja mashambulizi dhidi ya Askofu Malasusa. Haina faida yoyote kisiasa.
Malasusa ni askofu mkuu wa KKKT kwahiyo kumshambulia yeye ni kuishambulia taasisi anayoongoza. Akishambuliwa Mbowe nyie CHADEMA mtanyamaza na kusema ni ishu yake binafsi? SIKU NYINGINE FICHA UPUMBAVU WAKOKuna mtu yeyote amelishambulia kanisa la KKKT? Mimi sijaona hata mmoja.
Nimeona wengi wamemshambulia Malasusa kwa unafiki na kujipendekeza kwa Serikali.
Unaweza kujiona una akili na kuwaambia wengine wapumbavu, kumbe mpumbavu mwenyewe ni wewe.Malasusa ni askofu mkuu wa KKKT kwahiyo kumshambulia yeye ni kuishambulia taasisi anayoongoza. Akishambuliwa Mbowe nyie CHADEMA mtanyamaza na kusema ni ishu yake binafsi? SIKU NYINGINE FICHA UPUMBAVU WAKO
Endeleeni kuishambulia KKKT na kiongozi wake mkuu itawasaidia sana kwenye sanduku la kura. CHADEMA kuna saa piganeni vita vyenye manufaa. Sio kila vita mnapigana. Nguvu mnazopoteza kwa Malasusa mngezitumia kwingineUnaweza kujiona una akili na kuwaambia wengine wapumbavu, kumbe mpumbavu mwenyewe ni wewe.
Rais Samia ni Rais wa Tanzania. Watu wamemshambulia sana Samia kwa kuzigawa bandari zetu kwa DPW. Kwa akili yako ndogo, unaamini kuwa hawa Watanzania waliokuwa wakimkosoa Samia, walikuwa wanaikosoa Tanzania?? Kweli kuna watu mna akili matope.
Malasusa ameongea na kuweka wazi kuwa YEYE Malasusa alifundishwa kuitii Serikali (iwe kwa mambo mazuri au mabaya - hii ni akili matope). Na wala hakusema kuwa KKKT msingi wa imani yake ni kuitii Serikali. Na wala Malasusa hakutamka kuwa yale aliyokuwa akiyanena yalikuwa ni maoni ya KKKT.
Mtu mwenye uelewa, na mkweli na anayeipenda nchi yake, anatakiwa kuwa mtii kwa Jamhuri, siyo kwa Serikali. Serikali inaweza kuwa ya mahayawani, bado utaitii badala ya kuiondoa?
Kwahiyo na nyie mnataka KKKT iwe tawi lenu?Matawi ya CCM ndio hayo- polisi, wakurugenzi, cwt, bakwata, tiss, zitto, Lipumba, vile vyama vya siasa vile etc. Hawa jw wakifanya ile kazi ya chalamila jumatano nao rasmi watakuwa wamejiunga.