CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Malasusa ameshaiuza KKKT kwa CCM ndiyo maana uongozi wote wa juu wa CCM na wakuu wa vyombo vyote vya dola na mihimili yote walikuwepo kushuhudia jembe lao likichukua ofisi.Kwaweli KKKT wajiangalie sana wasijekufanywa kama BAKWATA na CCM Viongozi wa BAKWATA wamefanywa kuwa ni Wazee wa Bahasha za Khaki na Ubwabwa wenye kunukia viungo.
View attachment 2879583