Je, KKKT ni mpinzani mpya wa CHADEMA?

CHADEMA walifanya juhudi zote ashinde shoga Askofu Bagonza mwenziye Lissu walilala pamoja 2020 kwenye campaign. Wametumia hela, wametumia redio, na TV, na whattssap, lakini wapi!! Sasa hawana raha, Askofu kakataa maandamano.
 
Chadema wana usongo na KKKT kwa sababu ya mambo mawili:
1. Ask Shoo, ambaye ni mchadema, amemaliza muda wake na kuondoka.
2. Ask Bagonza, ambaye ni mchadema, alipigwa chini kwenye uchaguzi na Ask Malasusa ambaye siyo mchadema!
Hapo povu lazima tu liwatoke.
 
KKKT iko chini ya CCT do not worry
 
Wadau naomba kuuliza ni hvi hii ibada ya kumuingiza Malasusa kazini ,kwamba huko kazini ni wapi ?
 
Wakati wa Shoo walikuwa Wapinzani wa ccm na Waungan mkono wa Chadema

Ruwaiichi ni Mpinzani wa ccm na muunga mkono Chadema,Pengo alikuwa mpinzani wa Chadema na muunga mkono wa ccm.
 
Hapana, mpinzani ni huyo mmoja kizazi cha NYOKA
 
Hata bakwata na polisi ni matawi ya CCM kipi cha ajabu
Matawi ya CCM ndio hayo- polisi, wakurugenzi, cwt, bakwata, tiss, zitto, Lipumba, vile vyama vya siasa vile etc. Hawa jw wakifanya ile kazi ya chalamila jumatano nao rasmi watakuwa wamejiunga.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kuna mtu yeyote amelishambulia kanisa la KKKT? Mimi sijaona hata mmoja.

Nimeona wengi wamemshambulia Malasusa kwa unafiki na kujipendekeza kwa Serikali.
 
Jamaa wameona mwakani uchaguzi wameamua kuwakumbusha wanachama wao kama wamo. CCM kuitoa madarakani ni kazi kweli kweli, ogopa sana Chama ambacho kina Mali za serikari na serikari Ina Mali za Chama hicho(ANC).
 
Kuna mtu yeyote amelishambulia kanisa la KKKT? Mimi sijaona hata mmoja.

Nimeona wengi wamemshambulia Malasusa kwa unafiki na kujipendekeza kwa Serikali.
Malasusa ni askofu mkuu wa KKKT kwahiyo kumshambulia yeye ni kuishambulia taasisi anayoongoza. Akishambuliwa Mbowe nyie CHADEMA mtanyamaza na kusema ni ishu yake binafsi? SIKU NYINGINE FICHA UPUMBAVU WAKO
 
Unaweza kujiona una akili na kuwaambia wengine wapumbavu, kumbe mpumbavu mwenyewe ni wewe.

Rais Samia ni Rais wa Tanzania. Watu wamemshambulia sana Samia kwa kuzigawa bandari zetu kwa DPW. Kwa akili yako ndogo, unaamini kuwa hawa Watanzania waliokuwa wakimkosoa Samia, walikuwa wanaikosoa Tanzania?? Kweli kuna watu mna akili matope.

Malasusa ameongea na kuweka wazi kuwa YEYE Malasusa alifundishwa kuitii Serikali (iwe kwa mambo mazuri au mabaya - hii ni akili matope). Na wala hakusema kuwa KKKT msingi wa imani yake ni kuitii Serikali. Na wala Malasusa hakutamka kuwa yale aliyokuwa akiyanena yalikuwa ni maoni ya KKKT.

Mtu mwenye uelewa, na mkweli na anayeipenda nchi yake, anatakiwa kuwa mtii kwa Jamhuri, siyo kwa Serikali. Serikali inaweza kuwa ya mahayawani, bado utaitii badala ya kuiondoa?
 
Endeleeni kuishambulia KKKT na kiongozi wake mkuu itawasaidia sana kwenye sanduku la kura. CHADEMA kuna saa piganeni vita vyenye manufaa. Sio kila vita mnapigana. Nguvu mnazopoteza kwa Malasusa mngezitumia kwingine
 
Matawi ya CCM ndio hayo- polisi, wakurugenzi, cwt, bakwata, tiss, zitto, Lipumba, vile vyama vya siasa vile etc. Hawa jw wakifanya ile kazi ya chalamila jumatano nao rasmi watakuwa wamejiunga.
Kwahiyo na nyie mnataka KKKT iwe tawi lenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…