tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
Umetisha sana mkuu.Wale wa Znz mkubwa kabisa anapush 160 na wanasema ndiokwanza yupo kwenye ujana wa miaka 30 ya binadamu! Wangekuwa wanasema wale wangetuambia mengi kuhusu nchi zetu tuondokane na hizi story za mashujaa wa uongo uongo!