dickcisse
New Member
- Feb 3, 2017
- 4
- 2
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi...
Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima
Turejeeni katika mada hivi karibuni mtandaoni kulivuma tetesi za kuugua kwa Raisi wetu kipenzi nilipokea kwa masikitiko sana lakini kilichonifanya niombe toba kwa ajili ya nchi yangu ni mpokeo wa habari hii kwa baadhi ya wachache tena wachache wasijulikana..
Babu zangu bibi zangu Baba zangu,mama zangu,kaka zangu na ndugu zangu wote walionizidi miaka...Je si nyinyi mlioomba kupata mamlaka kama ya awamu ya kwanza na kupata mtu atakae waongoza kama baba wa taifa..?
Je Kosa lake ni kutenda haki..?
Je kosa lake ni kuagiza ndege na kufufua shirika la ndege?
Je Kosa lake ni kuwapa haki wanyonge?
Au ni kuwapa vitambulisho machinga..?
Bado najiuliza kosa la Baba huyuu