Je, kosa lake ni lipi kwetu?

Je, kosa lake ni lipi kwetu?

dickcisse

New Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi...
Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima
Turejeeni katika mada hivi karibuni mtandaoni kulivuma tetesi za kuugua kwa Raisi wetu kipenzi nilipokea kwa masikitiko sana lakini kilichonifanya niombe toba kwa ajili ya nchi yangu ni mpokeo wa habari hii kwa baadhi ya wachache tena wachache wasijulikana..

Babu zangu bibi zangu Baba zangu,mama zangu,kaka zangu na ndugu zangu wote walionizidi miaka...Je si nyinyi mlioomba kupata mamlaka kama ya awamu ya kwanza na kupata mtu atakae waongoza kama baba wa taifa..?

Je Kosa lake ni kutenda haki..?
Je kosa lake ni kuagiza ndege na kufufua shirika la ndege?
Je Kosa lake ni kuwapa haki wanyonge?
Au ni kuwapa vitambulisho machinga..?
Bado najiuliza kosa la Baba huyuu
7475eba6cc871cdb1f8c47432c54512c.jpeg
 
swali zuri kosa lake ni lipi?kila kitu ukiwa nacho huwa hakina thamani.
 
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi...
Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima
Turejeeni katika mada hivi karibuni mtandaoni kulivuma tetesi za kuugua kwa Raisi wetu kipenzi nilipokea kwa masikitiko sana lakini kilichonifanya niombe toba kwa ajili ya nchi yangu ni mpokeo wa habari hii kwa baadhi ya wachache tena wachache wasijulikana..

Babu zangu bibi zangu Baba zangu,mama zangu,kaka zangu na ndugu zangu wote walionizidi miaka...Je si nyinyi mlioomba kupata mamlaka kama ya awamu ya kwanza na kupata mtu atakae waongoza kama baba wa taifa..?

Je Kosa lake ni kutenda haki..?
Je kosa lake ni kuagiza ndege na kufufua shirika la ndege?
Je Kosa lake ni kuwapa haki wanyonge?
Au ni kuwapa vitambulisho machinga..?
Bado najiuliza kosa la Baba huyuuView attachment 1239362
Watu kupotezwa,kupigwa risasi na kubambikizwa kesi ndo kutenda haki
 
Bwana eee wengine haya mambo wala hatuyahitaji ndo maana typi huku hapa si mahala pake
 
Uzi huu mahala hapa si pake, ama wewe ndie mpepelezi kutoka NIDA, na alama zako za vidole??
 
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi...
Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima
Turejeeni katika mada hivi karibuni mtandaoni kulivuma tetesi za kuugua kwa Raisi wetu kipenzi nilipokea kwa masikitiko sana lakini kilichonifanya niombe toba kwa ajili ya nchi yangu ni mpokeo wa habari hii kwa baadhi ya wachache tena wachache wasijulikana..

Babu zangu bibi zangu Baba zangu,mama zangu,kaka zangu na ndugu zangu wote walionizidi miaka...Je si nyinyi mlioomba kupata mamlaka kama ya awamu ya kwanza na kupata mtu atakae waongoza kama baba wa taifa..?

Je Kosa lake ni kutenda haki..?
Je kosa lake ni kuagiza ndege na kufufua shirika la ndege?
Je Kosa lake ni kuwapa haki wanyonge?
Au ni kuwapa vitambulisho machinga..?
Bado najiuliza kosa la Baba huyuuView attachment 1239362
Siasa ni kama dini. Unaweza kujiaminisha kitu amacho hakipo. Au ukapindisha kilichopo.

Wewe unasema Magufuli analeta haki, waliovunjiwa nyumba bila fidia Kimara wakaona wenzao Mwanza wanakingiwa kifua na Magufuli nyumba zao zisivunjwe watasema Magufuli si mpenda haki.

Wewe unaposhangilia Magufuli kufufua shirika la ndege, wengine watasema anaingiza siasa kwenye biashara bila utaalamu, bila kufuata bajeti, bila kuruhusu ukaguzi wa mahesabu na bila kuwa na open tender process.

Kwanza kabisa Magufuli ana kauli mbovu zisizo na staha za kirais. Hilo ni kosa la kwanza linalofanya baadhi ya raia wasimuheshimu.

Raia wengine wanaona hakuna haja ya kumuheshimu mtu ambaye yeye mwenyewe hajiheshimu.

Nyerere alijiheshimu. Hata alipokaripia, alikaripia kwa heshima na kanuni.

Magufuli hajiheshimu. Anaropoka ovyo.

Sasa watu wakimkosea heshima mtu ambaye yeye mwenyewe hajiheshimu, utakachoshangaa ni kipi?
 
Kwanza kabisa natanguliza shukrani zangu za nguvu kwa MUNGU BWANA muumba mbingu na nchi...
Pili natubu kwa ajili ya nchi hii ya TANZANIA na dunia nzima
Turejeeni katika mada hivi karibuni mtandaoni kulivuma tetesi za kuugua kwa Raisi wetu kipenzi nilipokea kwa masikitiko sana lakini kilichonifanya niombe toba kwa ajili ya nchi yangu ni mpokeo wa habari hii kwa baadhi ya wachache tena wachache wasijulikana..

Babu zangu bibi zangu Baba zangu,mama zangu,kaka zangu na ndugu zangu wote walionizidi miaka...Je si nyinyi mlioomba kupata mamlaka kama ya awamu ya kwanza na kupata mtu atakae waongoza kama baba wa taifa..?

Je Kosa lake ni kutenda haki..?
Je kosa lake ni kuagiza ndege na kufufua shirika la ndege?
Je Kosa lake ni kuwapa haki wanyonge?
Au ni kuwapa vitambulisho machinga..?
Bado najiuliza kosa la Baba huyuuView attachment 1239362
Miaka mitatu huchangii hoja za wenzio, wewe leo wewe unataka watu wachangie hoja ya mkuu wa nchi ?!.
 
Kosa lako ni kumfananisha na baba wa Taifa
 
Back
Top Bottom