Hata tuhuma za ugaidi sina tumiwa na watu wavivu kufikiri? Mtu anadai katiba mpya unampa kesi ya ugaidi? wanaposema kuna viongozi vichaa huoni tunaamini sasaHisia za UDINI hutumiwa na na watu walioshindwa HOJA NA FIKRA.....
Ugaidi/terrorism unaweza kufanywa na YEYOTE awaye tusitafute visingizio......
Sifa moja kuwa Mkristo ni kutokuwa mkweli. Hili linaonekana sana kiutendaji. Sifa nyingine ni kulalama,kadhalika sifa nyingine ni kuona wao wanaonewa,tena sofa myingine ni wao wawafanyie mabaya wenzao ila wasofanyiwe,hapa natumia msemo wa Kiswahili usemao "Kunya anye kuku akinya bata amehara". Hamkujaaliwa uadilifua WAKRISTO.
Hata tuhuma za ugaidi sina tumiwa na watu wavivu kufikiri? Mtu anadai katiba mpya unampa kesi ya ugaidi? wanaposema kuna viongozi vichaa huoni tunaamini sasa
Wakristo wote popote walipo ndiyo ninao waongelea hapa.Hizo ni sifa za wakristo wapi unawaongelea mkuu?
Ahsante mkuu, wewe wasema.Wakristo wote popote walipo ndiyo ninao waongelea hapa.
Na huo ndiyo ukweli hakuna anae weza kuupinga kielimu kwa hoja na kwa uadilifu.Ahsante mkuu, wewe wasema.
Ubarikiwe.
Na huo ndiyo ukweli hakuna anae weza kuupinga kielimu kwa hoja na kwa uadilifu.
Shukrani tuko pamoja.
Hapa una maanisha wanawake uongoza kwa hisia na inferiority complex na sio sheriaCabinet ya magu ilikua na waislam 3 tu,na waislamu wala awakulalamika,udini wa rais umekuja baada ya nyinyi wenyewe kumchukulia ni dhaifu,ogopa sana kiumbe mwanamke akiwa na nguvu flan then wewe ukamchukulia dhaifu kutokana jinsia yake,tena mkizidi anamtoa sabaya jela na kumpa ukuu wa wilaya ya hai na kukamata yule mdude nyagali,huyu bibi alikua anasettle vizuri tu nyie wenyewe ndie mliesababisha abadilike
Hiv gaidi haw watawala wa inchi ya zumbukuku wanaijua?Tuendako sio salama Kama watawala hawatakuwa making. Kumuita mtu gaidu na si gaidu NI hatari. Kutawala Kwa mbinumbinu nikubaya Sana. Utawala mzuri NI ule mtu anatawala kufuata wananchi kipi wanahutaji na kipi hawahitaji.
Upuuuz tu hakuna jipya UAMSHO WALE NDIO MAGAIDI WALA SI MBOWE
Hoja yako ww na mtazamo wako mkuu tofaiti maana ww umelenga kwenye UDINI HAPO NDIO CHANGA FIRE MKUUUIkiwa mahakama na vyombo vilivyopo vilisema wale watu sio magaidi, tusubirie watasema nini kuhusu kesi inayoendelea.
Si wote tunapewa mrejesho kwa yanayojiri huko mahakamani?
Hapa mjadala ungekua ufanisi au ubora wa vyombo vyetu vya kusimamia haki. Matokeo yake imekua kufananisha kesi ya kiongozi wa KuB na Masheikh wa Uamsho.
Ukweli sio gaidi wa ugaidi. How did you come into that conclusion?
Hoja yako ww na mtazamo wako mkuu tofaiti maana ww umelenga kwenye UDINI HAPO NDIO CHANGA FIRE MKUUU
Vizuri.Nilikunukuu kuhusu sifa za wakristo na ukaandika huo ndio ukweli, sikuona haja ya kukubishia au kupingana nawe bila kusikiliza hoja zako, kama hautojali, ingekua vema ukaelezea kidogo kuhusu uongo, kulalamika kuonewa na chuki ( sina uhakika kama nimekunukuu ipasavyo).
Vizuri.
Nilipokuwa nasema kuhusu sifa za Wakristo kuwa siyo wa kweli nilimaanisha. Wakristo siyo wa kweli kianzia katika maandiko yao mpaka matendo yao.
Ukristo ni katika dini zilizo zuliwa, dini ambayo kwa masikitiko makubwa sana inanasbishwa na nabii wa Allah Issa mwana wa Maryam (Amani ya Allah iwe juu yake).
Uongo mwingine ambao ni sifa ya Wakristo hawana misingi ya kuhakiki habari zinazo husu maandiko yao japokuwa wapo baadhi ya watu wamekuja kujua uongo wa habari hizo.
Jambo lingine ni kuwa Injili zote si habari kutokana na ushahidi wa kumuona nabii Issa (Yesu) kwa macho na kunukuu habari zake.
Nakomea hapa....
Shukrani sana.Kwakua huo ni mtizamo wako kuhusu ukristo, naomba nikomee hapo pia mkuu.