The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Shukrani sana.
Karibu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sana.
Wale magaidi hawakuwa na kesi huyo mbowe kesi inaendelea,mahakama iachiwe mamlaka yakeNaona mitandaoni suala la Ugaidi limechukua sura mpya ikionekana wapo watu wanataka kuonyesha kwamba imani ya kiislam na kikristo zote zinaweza kuzalisha ugaidi. Kwamba mwanzo kwenye uhamsho walihusishwa waislam na Sasa kuonyesha kubalance story Basi mbowe naye atapelekwa Magereza kwa Ugaidi.
Je wewe unaamini Mbowe anaitwa Gaidi kwa sababu za kidini na watawala walioshika usukani au ni suala la kisiasa tu? Kwanini uhamsho waachiwe kwa kubambikiwa kesi za ugaidi kwa miaka 8 na Mamlaka hiyo hiyo imkamate mtu ambaye ukweli upo wazi kuwa siyo gaidi kwa ugaidi? Kama siyo kisasi Cha kidini kilichoingizwa kwa siasa ni wapi zilipoibuliwa tuhuma hizi?
Ikumbukwe zipo pia tuhuma zakuwafanya watu wa Kanda flani kutokuwa na Uhuru wa biashara na kuwataifisha Mali zao kitendo kilichofanywa na awamu iliyopita. Je, huko kaskazini wanaadhibiwa kwa upeo wao, mafanikio yao au wanaadhibiwa kwa sababu? Utakatishaji fedha, mauaji na Sasa tumeanza kuwaita magaidi Nini shida na watu Hawa dhidi ya Tawala za nchi hii?
Haya nimeandika maana naona ndiyo yanayojadiliwa mitandaoni na hayana afya. Hata Kama tukikaa kimya lakini hao watu wa kaskazini tunavyozidi kupambana nao huku tukijua wameoa na kuolewa kila familia tunaweza zalisha chuku kwenye familia zetu wake zetu au waume zetu na watoto wakaanza kulipizana visasi. Tusiuone huu mjadala wa ukandamizaji kwa wepesi Sana watu wate wanapaswa kuliwaza kwa upana wake. Someni watu wanavyounganisha tukio hili na UDINI, UKABILA NA SIASA then mlipambanue kwa upana huu hasa viongozi wakuu wa nchi. Don't simplfy this issues , mmetumia hizi mbinu toka JK akiwa madarakani Hadi Leo lakini tukiri tumepanua hufa na Taifa siyo moja Tena. Kila anayekabidhiwa nchi/wizar/ idara anakuja na visasi vyake tutafika?
Uko sahihi kabisa ugaidi hauna uhusiano na dini. Ingawa kuna baadhi ya watu wametumia dini vibaya kufanya ugaidi. Huenda wahusika wenyewe hata hawajaishika dini vizuri.Uamsho walikamatwa Zanzibar chini ya SERIKALI ya mh.Dr.Shein ,makamu wa pili Balozi Seif Ali Idd na wakasafirishwa huku bara ,Rais akiwa mh.Jakaya Mrisho Kikwete.....
Msichukie asiye muislam kuitwa GAIDI,katika KAMUSI ,neno gaidi halijatajwa kuhodhiwa na KIKUNDI FULANI CHA KIDINI....hata uwe mpagani unaweza kuwa ni GAIDI...
#TanzaniaBilaYaUgaidiInawezekana
#TuweNaKumbukumbu
#WatanzaniaWameamka
#NchiKwanza
#JMTKwanza
Hiyo mahakama unayoesema itende haki,unauhakika na uyaongeayo? Hatuna mahakama ya hakiNinyi tulieni hawa wamachame msiwaamini sana. Iachieni mahakama ifanye kazi yake. Kama siyo gaidi ataachiwa tu lakini huyu inaonekana kuna kitu alifanya. Muda utaongea.
Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.
Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
Cabinet ya magu ilikua na waislam 3 tu,na waislamu wala awakulalamika,udini wa rais umekuja baada ya nyinyi wenyewe kumchukulia ni dhaifu,ogopa sana kiumbe mwanamke akiwa na nguvu flan then wewe ukamchukulia dhaifu kutokana jinsia yake,tena mkizidi anamtoa sabaya jela na kumpa ukuu wa wilaya ya hai na kukamata yule mdude nyagali,huyu bibi alikua anasettle vizuri tu nyie wenyewe ndie mliesababisha abadilike
Katika hii kesi wako pia waislamu,lakini nyinyi hamuwataji.Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.
Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
Katika hii kesi wako pia waislamu,lakini nyinyi hamuwataji.
Huyu bibi ajitathimini. Vinginevyo anaipeleka nchi pabaya kwa ubaguzi wake.Wanajitoa ufahamu, na wamemkalia kooni huyu mama kisa muisilamu.
Huyu bibi ajitathimini. Vinginevyo anaipeleka nchi pabaya kwa ubaguzi wake.
Basi wewe unashida. Una asili ya udini udini hivi.Binafsi huwa napata amani nchi ikiongozwa na marais waisilamu.
Basi wewe unashida. Una asili ya udini udini hivi.
Umeyaonaje haya kama huna jicho la udini?Kila awamu wakristo wanaongoza kwa uteuzi c kwa muisilamu wala asie kiongozi muislamu
Umeyaonaje haya kama huna jicho la udini?
WeweNani alieanzisha udini humu?
Wewe
@Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.
Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.
Hakika....Uko sahihi kabisa ugaidi hauna uhusiano na dini. Ingawa kuna baadhi ya watu wametumia dini vibaya kufanya ugaidi. Huenda wahusika wenyewe hata hawajaishika dini vizuri.
Labda tunaelewa vibaya maana ya "jihad" na huenda kuna wafuasi wanaitafsiri jihad vibaya au kwa makusudi ya kufanikisha mambo yao.
Rais Museveni hivi karibuni kauliza swali zuri sana. Nitamnukuu, "ikiwa wanaojitoa mhanga wanaamini wataenda mbinguni au paradiso ya raha na mema yote kwa kujitoa mhanga, kwa nini viongozi wao hawajitoi mhanga?"