Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

Wale magaidi hawakuwa na kesi huyo mbowe kesi inaendelea,mahakama iachiwe mamlaka yake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa ugaidi hauna uhusiano na dini. Ingawa kuna baadhi ya watu wametumia dini vibaya kufanya ugaidi. Huenda wahusika wenyewe hata hawajaishika dini vizuri.

Labda tunaelewa vibaya maana ya "jihad" na huenda kuna wafuasi wanaitafsiri jihad vibaya au kwa makusudi ya kufanikisha mambo yao.

Rais Museveni hivi karibuni kauliza swali zuri sana. Nitamnukuu, "ikiwa wanaojitoa mhanga wanaamini wataenda mbinguni au paradiso ya raha na mema yote kwa kujitoa mhanga, kwa nini viongozi wao hawajitoi mhanga?"
 
Ninyi tulieni hawa wamachame msiwaamini sana. Iachieni mahakama ifanye kazi yake. Kama siyo gaidi ataachiwa tu lakini huyu inaonekana kuna kitu alifanya. Muda utaongea.
Hiyo mahakama unayoesema itende haki,unauhakika na uyaongeayo? Hatuna mahakama ya haki
 
Beatrice Kamugisha umefufuka? Karibu sana.

Huyu bibi kwa hakika ni mdini. Kaachia waislamu wenzake Sasa anakamata wakristo.

Uamsho wamekutwa na hatia ewe naswara/myahudi mweusi? Almost 8 or 9 years wame2mikia gerezani na kesi yao haikuwa ikisikilizwa, ni haki hiyo? Yule kafiri mpaka anatutoka hapa duniani hakufanya chochote, mama mwenye huruma na utu, na hofu aliyonayo kwa Mungu akawatoa UAMSHO, je!! Wewe ulitamani waendelee ku2mikia jela!!!!


Kuhusu mbowe, mimi na wewe ha2jui kosa lake, usikae kumdhania mama ni mdini bila kujuwa ana hatia ama!!!!
 

Walikuwa wanatikisa kiberiti kwa mama nini!! 🤣

Waisilamu hawana shida na wao wala tamaa na uteuzi, ila upande wa pili sasa. Na ukifuatilia takwimu zao naamini wakristo ni wengi kuriko waisilamu,,,,pamoja na hayo bado wanaumia kwa waisilamu.
 
Huyu bibi ajitathimini. Vinginevyo anaipeleka nchi pabaya kwa ubaguzi wake.

Mbaguzi ni wewe na wenzio mnaomchukia bila sababu uyu mama.

Binafsi huwa napata amani nchi ikiongozwa na marais waisilamu.
 
Basi wewe unashida. Una asili ya udini udini hivi.

Nani mdini kama co wewe ulieanza na udini!!!! Kila awamu wakristo wanaongoza kwa uteuzi c kwa muisilamu wala asie kiongozi muislamu lakinii ushawahi kuona waisilamu wanalalamika na kupata sauti!!!!
 
Hakika....

Hatari sana mkuu.....

Brainwashing ya kiwango cha ajabu kabisa.....wasio na akili wanatumiwa na wanufaika wa biashara hiyo yenye malengo mahsusi.....ni bahati mbaya sana bado liko kundi kubwa la watu wapumbavu wanaofanya vitendo hivyo na pia uwepo wa kundi kubwa la watu wajinga wanaolaumu wasiohusika ilihali hawajijui kuwa nao ni mateka wa kadhia hizo za kinyama..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…