BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu ya wapiganaji kumsaidia ASSAD.
Wasiwasi wangu ni hii nchi kuangukia kwenye machafuko ya kila mara maana hawa wanamapinduzi wanataka nchi itawaliwe KIISLAM kwa itikadi kali, je itakuwaj hapo baadae.
All in all, nchi za magharibi ni chanzo cha machafuko na mapinduzi mengi Duniani ikiwemo Africa na hakika kwa hili wamefanikiwa. Yani wametegea RUSSIA na IRAN wako kwenye tension kubwa ya vita ndo wakawaambia waasi waanze safari ya kuelekea Damascus.
Je kuna uwezekano wa Russia na Iran ku-heat back ili kumrejesha kipenzi chao? Au ndo basi tena.
NB.
Kuna nchi nyingi sana Africa zimejificha kwenye kichaka kinachoitwa demokrasia, but in reality it's just propaganda or romantised democracy. Nchi km hizi pia mapinduzi ndo size yao.
Pole sana Russia, pole sana Iran, mimi nimeumia lakini nyie mmeumizwa zaidi.