Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 623
- 647
Wadau, Subaru Forester Non Turbo ina Electric Power Stearing imekuwa ikitoa mlio kama inagonga tairi la kushoto mbele. Fundi ameicheki, ananiambia tatizo ni Power Stearing, nan kwakuwa ni ya umeme huwa zinasumbua kwa namna hiyo. Amenishauri niibadioishe kutoka kuwa Power Stearing ya Umemeiweya Hydraulic kwa kiwa hata nikiirudishia ya umeme tena baada ya muda mfupi itasumbua tena. Naomba uzoefu kuwa kubadili Electric Power Stearing kuwa Hydrauoic Power Stearing ni salama? Haitazidi kusumbua?