Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
nini kucha mkuu Apolinary mie hapa leso nakufutia jasho tu au uiguse naenda kukuroga vizuri
Kizazi hiki bado kina mambo hayo?
Mi huwezi kuniloga kama huamini njoo ujaribu nakuruhusu
Mwanasiasa,
Fafanua
Mwanasiasa,
Fafanua
upo Dada? ulipotea majukwaani au tulipishana Jukwaa nini
Watu wanaroga hadi kivuli unashangaa kuchukua kucha...