hakuna ukweli hapo
yakikukuta ndio utajua ni kweli au la
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna ukweli hapo
yakikukuta ndio utajua ni kweli au la
Hebu tiririka mkuu hapo inakuaje wakati unapoenda kuloga?
Bila shaka yamemsibu yya kumsibu, naona post mbili zote anaulizia kucha tuuu. Mungu amsaidie awe na amani.mmmmmh asee mku yamekusibu yapi hayo
ahahahha na kweli maaana huko anakoelekea ni kubayaBila shaka yamemsibu yya kumsibu, naona post mbili zote anaulizia kucha tuuu. Mungu amsaidie awe na amani.
du wewe nouma...yaomekana ukiamua unaweza hata kumquote post ya mtu ikawa kwishney
Kafunikwa na damu ya Yesu Kristo wa Nazareti aliye hai hapo mchawi hatii mguu anaungua mwanzo mwisho.Kwanini unaamini huwezi kulogwa?
Weka Heshima kwa mmeo !! yuko ugenini anamenyeka na kuramba vumbi, maboxi yanmsubiri kubeba !! wee wafanya ushirikina..... afauna-Aleki !!Uache kuchepukaaa!!! Naiwekea password hiyo ikiwa ugenini haisimami dede mguu upande wala mguu sawa....hadi ije kwangu
Weka Heshima kwa mmeo !! yuko ugenini anamenyeka na kuramba vumbi, maboxi yanmsubiri kubeba !! wee wafanya ushirikina..... afauna-Aleki !!
L badiri my defence system !! wameshindwa wakoloni... itakw...khaaaNitakufanya ndondocha kabisaa!!!!
upo Dada? ulipotea majukwaani au tulipishana Jukwaa nini
michango yako niliikosa
km ni kweli sasa hawa vijana wanaowakata kucha za miguuni na kupakaa rangi si watawabeba Dada zetu kwa foleni ? maana wanapowapapasa miguu yenu ya bia eti kukata kucha tu? huwa siridhiki na mm namuongezea MziziMkavu adadavue