Je, kuchora tatoo ni dhambi au si dhambi kwa Wakristo?

Siyo dhambi... Tatoo haichafui roho yako kama hujaambatanisha na mambo ya kichawi.

Hivyo kama roho yako ipo salama basi kuchora tatu si dhambi

Issue siyo roho, chanzo cha tattoo ni wapi? Muasisi ni nani?. Biblia inakubali au inakataza.
 

Mungu haangalii utamaduni, anaangalia neno lake.
 
Kama unatafsiri bibilia kirnyeji hivi, basi utaishi kwa mateso sana.

Tafsiri ya nini wakati neno lipo wazi?. Tafsiri itatumika pale kwenye utata. Umeambiwa usichanje chale wala kukata ngozi ya mwili wako, hapo tafsiri inahitajika wapi?
 
Naamini kupitia andiko hili wakiristo awafati biblia sababu wakiona mwanaume mwenye ndevu mafano awe muisilamu sio kuponda huko la
loh!!!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Dhambi maana yake nn?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni aina ya tafakari ya watu wa mwilini, siku ukijifunza kuwa Mungu ni roho utakua kiroho. Kwa sasa endelea kuhangaika na flesh.
 
Siyo dhambi... Tatoo haichafui roho yako kama hujaambatanisha na mambo ya kichawi.

Hivyo kama roho yako ipo salama basi kuchora tatu si dhambi
Hivi kusudi la kuchora tattoo ni nini? Kwa nini mtu atake kuchora tattoo?
 
Biblia umesema usichanje chare Wala usichome mwili wako na rangi
 
Twende na nabii mkuu yeye kanukuu. AMPC Bible. Isaya 44.5

Karibu tujadili.
Huyu nabii kwanini anaukwepa mstari unaopiga marufuku tatoo? Hamna sehemu ambayo Mungu anaelekeza watu wake wakachore tatoo

Law 19:28 SUV​

Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA
 
Tatoo inaleta shida Gani haswa?
Sipendi kuchora tatoo lakini sidhani kama inamletea mchoraji dhambi yoyote labda kama hiyo tatoo anaichora ikihusiana na matendo maovu.

Tattoo ipi inahusiana na matendo mazuri? Hebu tofautisha kwa kutoa mfano

Yaani mtu achore picha yake au msalaba au ya mwenza wake halafu awe kafanya dhambi? Sasa dhambi hapo ni nini yaani kabisa.

Unapochara tattoo unachora kwaajili ya nani? Unataka kutimiza nini? Hebu tujue hilo kwanza.


Mungu ni yeye yule jana, leo na hata milele. Usidhani matendo mapya humbadili Mungu, hiyo ni lugha ya shetani. Hao wanawake wavaao suruali haijawahi kuwa amri ya Mungu kama unavyohubiri UONGO hapa, hiyo ni matokeo ya FEMINISM. Bahati mbaya kabisa Kanisa lilikumbatia ushetani huu ndio maana leo unaona wanawake wakisimama madhabahuni, wengine wakivaa kama makahaba, wakijipamba isivyowapasa. Tofautisha Mungu na dunia, kuna wanawake wana mavazi ya Jumapili kanisani halafu wana mavazi ya kuendesha sokoni, saluni, kazini klabu nk. Unadhani Mungu wa Jumapili sio huyo huyo wa Jumatatu? Kwamba wa Jumapili hataki suruali ila wa Jumatatu hana shida nayo? TAFAKARI

Tuna amri moja tu upendo, jambo lisilo na madhara kwako na mwingine kuitwa dhambi ni ulimbukeni.

Ukimpenda mwenzio utamvalia nguo za kikahaba? Kwani wewe unaelewa nini maana ya upendo? Ukimpenda Mungu utalilia kujichora tattoo? Kwamba unataka kumfurahisha Mungu kwa bonge la tattoo? Upendo ni nini?


Injili ya shetani hii. Tafuta makanisa serious kama pastor Gino Jennings (old trouble maker), torch of Christ ministry, brother Gabe Street preacher nk uone. Uende na mimi skirt Kanisani Ulaya? Ndivyo mnavyojidanganya? Unahubiri uongo kwa faida ya nani hasa!? Mbona maandiko yako wazi kuhusu kujipamba na mavazi, wewe unatuletea Injili ya kuzimu? Ona ainu, kama hujui maandiko vema ukauliza. Wewe nimpotoshaji mkubwa, unspingana na kazi ya ufalme wa Mungu. Kizazi kilichotekwa na feminism
 
Kosa lina tabia moja. Ikirudiwa na kufanywa na watu wengi kwa muda mrefu inageuka na kuoneka siyo dhambi na ni jambo la kawaida kabisa kwa jamii husika.

Hivyo kwa sababu watu wengi wanachora tatoo kusikudanganye ukaona ni kawaida na siyo kosa.
 
Pana mtumishi katumia hilo andiko kuhalilisha tatoo sio dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…