Je, kuchora tatoo ni dhambi au si dhambi kwa Wakristo?

Utamaduni haumzuii Mtu kujisitiri.
Suala,mini skirt sio mavazi ya Mkristo bali hio ni milango ya mapepo kuingia mwilini,
 
Jibu swali kauliza wakilisito akusema dini we vipi?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Una nilazimisha mimi kujibu swali kwa kigezo gani? Au ni Mihemko yako na hasira zako? Si lazima kujibu swali, Pia si lazima nijibu swali kama utakavyo wewe au atakavyo mleta mada...!!!

Haya ni maoni na mawazo yangu binafsi wala sihitaji kujua unayachukulia vipi, Huwezi nipangia cha kujibu kila mtu yuko huru kujibu atakavyo.

Ukijibu wewe swali inatosha! Si lazima kila mtu ajibu kama utakavyo wewe!!

U get it?????
 
Mbona wakiristo wenyewe huko urope ndo wachoraji wakubwa na wakiristo ndio wanakata ndevu?
 
Mungu haangalii utamaduni, anaangalia neno lake.
Umejuaje kwamba Mungu ha angalii utamaduni? Ulikutana naye aka kwambia ana angalia neno lake?

Neno lake ni lipi? Na umejuaje kwamba ni neno lake? Aliyekwambia Mungu ana "Neno" ni nani?
 
Mkuu waafrika hasa watanzania walisha haribiwa na dini...

Wala hawatumii Akili zao kufikiri wao ni "Dini" zimetawala vichwa vyao....
 
Usikiongelee kitu ambacho hukijui ukakitolea hukumu, utakuja beba dhambi za watu wote unaowapotosha
Wewe unakijua??

Nani aliye kwambia mtu mmoja hubeba dhambi za kundi la watu?? Au ni hofu zako tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…