Makonde plateu JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 1,443 Reaction score 3,480 Apr 5, 2024 #1 Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 808 Reaction score 2,155 Apr 5, 2024 #2 Mali ya umma ni kwa maendeleo ya umma na si binafsi, kunawananchi wanahenyeka kwa kukamuliwa kodi ili kuhudumia nchi
Mali ya umma ni kwa maendeleo ya umma na si binafsi, kunawananchi wanahenyeka kwa kukamuliwa kodi ili kuhudumia nchi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 5, 2024 #3 Ni wizi kama wewe siyo kada wa ccm.