mr vata
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 465
- 616
Kama unaona si kosa basi fanya hili suala likae kifamilia...Ishu ni kuwa kaomba mwenyewe. Anadai kuwa bikira inamfanya apate pain sana anapokuwa kwenye siku zake. Huu ushauri kapewa na daktari.
Mwambie akawaambid wazazi kuwa ameshauriwa hivyo na daktari na amekuchagua wewe umtoe, afu sikilizia mrejesho. Bila shaka watakubali.