Je, kujamiana sana kunaleta maumivu ya Magoti?

Je, kujamiana sana kunaleta maumivu ya Magoti?

Mteule halisi

Senior Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
197
Reaction score
97
Ni kwa miezi kalibu miwili nilikua nikisumbuliwa na maumivu kwenye magoti kila ninapopanda ngazi au nikikanyaga sehemu yenye muinuko laikini kwenye tambalale sisikii maumivu. Sasa kwasasa yapata kama mwezi mmoja sijagegeda maana niko mbali na mchumba wangu na chaajabu ni kwamba maumivu yale siyasikii kabisa! Sasa najiuliza je kujamiiana sana kunaleta maumivu ya magoti? Na kama sio ni nini sababu za maumivu kwenye magoti? Kwa wenye uelewa wanisaidie apo!
 
Mi huwa nayapata ila Mara nyingi kama cholesterol ikiwa juu
 
Back
Top Bottom