Mteule halisi
Senior Member
- Oct 21, 2014
- 197
- 97
Ni kwa miezi kalibu miwili nilikua nikisumbuliwa na maumivu kwenye magoti kila ninapopanda ngazi au nikikanyaga sehemu yenye muinuko laikini kwenye tambalale sisikii maumivu. Sasa kwasasa yapata kama mwezi mmoja sijagegeda maana niko mbali na mchumba wangu na chaajabu ni kwamba maumivu yale siyasikii kabisa! Sasa najiuliza je kujamiiana sana kunaleta maumivu ya magoti? Na kama sio ni nini sababu za maumivu kwenye magoti? Kwa wenye uelewa wanisaidie apo!