Usimpoteze Mkuu ni dhambi tna kubwa cz alomuumba hakukosea kuna watu wameumbwa kupenda hyo rangi ulokua nayo ila ukiitoa umefnya makosaSiyo dhambi kabisa
Ni dhambi
Usimpoteze Mkuu ni dhambi tna kubwa cz alomuumba hakukosea kuna watu wameumbwa kupenda hyo rangi ulokua nayo ila ukiitoa umefnya makosa
Ndiyo ni dhambi.
Kujichubua si sawa maana ni hatari kwa afya yako hata ukimuuliza doktor atakwambia usifanye hivyo....kusema ni dhambi haina ushahidi wa maandiko ila si sawa mbele za Mungu.
Ni dhambi ambayo inaingia kwenye "Usiabudu Miungu wengine"
Unapojichubua ni kukana asili yako na kusema aliyekuumba hivyo alikosea.
Kuvaa mawigi, kujichubua ni kuabudu Miungu wengine.
Naomba unielezee maana ya kuabudu!Ni dhambi ambayo inaingia kwenye "Usiabudu Miungu wengine"
Unapojichubua ni kukana asili yako na kusema aliyekuumba hivyo alikosea.
Kuvaa mawigi, kujichubua ni kuabudu Miungu wengine.
Tumehimizwa usafi kwa hyo mwanadamu anatakiwa ajisafishe kila aina ya uchafu kwa hyo kucha ni uchafu, nywele zikizidi na kama huzishuhlikii ni uchafuSi dhambi ni urembo ka urembo mwngine tu. . kama ingekuwa tunatakiwa tubaki natural kama tulivyoumbwa basi hata nywele tusingetakiwa kunyoa,,wala kucha kukata,iyo logic ya kusema n kukosoa uumbaji c kweli....nataman nikianza kujichubua nijichubue adi ulimi yan[emoji12] [emoji12]
Vipi kuhusu kuweka nywele dawa?Tumehimizwa usafi kwa hyo mwanadamu anatakiwa ajisafishe kila aina ya uchafu kwa hyo kucha ni uchafu, nywele zikizidi na kama huzishuhlikii ni uchafu
Inategemea na dawa kwani dawa si makosa ila ukieka nywele dawa ambazo zitabdili asili yako ya nywele bc itakua ni kosa ila kutia dawa za kung'arisha nywele zko sio ttzo hususan kwa mwanamke sio ttzo ila asizioneshe kwa kila mtu ispokua halali ykeVipi kuhusu kuweka nywele dawa?
Sasa inakuwaje kutia dawa usoni ili uso ung'ae iwe tatizo?Sioni tofauti mkuu.Inategemea na dawa kwani dawa si makosa ila ukieka nywele dawa ambazo zitabdili asili yako ya nywele bc itakua ni kosa ila kutia dawa za kung'arisha nywele zko sio ttzo
Kung'arisha uso sio kosa ila usijichubueSasa inakuwaje kutia dawa usoni ili uso ung'ae iwe tatizo?Sioni tofauti mkuu.