Ray model
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 207
- 185
Hey guys hili swali nimeulizwa na mtu PM nimeshindwa hata kumjibu
Siku hizi kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kujichubua kwa losheni, vidonge au sabuni. Maana kuna wimbi la wanaume na wanawake kujichubua na hata rafiki zangu wengine wanajibua na kwangu naona poa tu.
Lakini nimekuwa nikijiuliza hivi kujichubua ni sawa? Na je, ni dhambi?
Mimi sizungumzii kwa upande wangu sababu mimi ni mweupe in nature siwezi kujichubua si unajua tena ushombe shombe??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]