Je, kujichubua ni dhambi?

Je, kujichubua ni dhambi?

Ray model

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
207
Reaction score
185
Hey guys hili swali nimeulizwa na mtu PM nimeshindwa hata kumjibu

Siku hizi kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kujichubua kwa losheni, vidonge au sabuni. Maana kuna wimbi la wanaume na wanawake kujichubua na hata rafiki zangu wengine wanajibua na kwangu naona poa tu.

Lakini nimekuwa nikijiuliza hivi kujichubua ni sawa? Na je, ni dhambi?

Mimi sizungumzii kwa upande wangu sababu mimi ni mweupe in nature siwezi kujichubua si unajua tena ushombe shombe??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kujichubua si sawa maana ni hatari kwa afya yako hata ukimuuliza doktor atakwambia usifanye hivyo....kusema ni dhambi haina ushahidi wa maandiko ila si sawa mbele za Mungu.
 
naona team kujichubua wanasoma kimya kimya..

actually ni dhambi,na ndio maana hayo madawa hupigwa vita na mamlaka

isitoshe team kujichubua huwa hawajipendi;ambalo nayo ni kosa/dhambi
 
Kama kujichubua ni dhambi basi na kuweka dawa nywele ni dhambi

Mana zote ni kudenature nature.
 
Si dhambi ni urembo ka urembo mwngine tu. . kama ingekuwa tunatakiwa tubaki natural kama tulivyoumbwa basi hata nywele tusingetakiwa kunyoa,,wala kucha kukata,iyo logic ya kusema n kukosoa uumbaji c kweli....nataman nikianza kujichubua nijichubue adi ulimi yan[emoji12] [emoji12]
 
Ni dhambi
Usimpoteze Mkuu ni dhambi tna kubwa cz alomuumba hakukosea kuna watu wameumbwa kupenda hyo rangi ulokua nayo ila ukiitoa umefnya makosa
Ndiyo ni dhambi.
Kujichubua si sawa maana ni hatari kwa afya yako hata ukimuuliza doktor atakwambia usifanye hivyo....kusema ni dhambi haina ushahidi wa maandiko ila si sawa mbele za Mungu.
Ni dhambi ambayo inaingia kwenye "Usiabudu Miungu wengine"

Unapojichubua ni kukana asili yako na kusema aliyekuumba hivyo alikosea.

Kuvaa mawigi, kujichubua ni kuabudu Miungu wengine.

Binafsi sisupport kujichubua hasahasa kwasababu za kiafya.Pia ninadhani ni dhambi japokua nnakosa mashiko ya point hiyo kutokana na maswali yafuatayo:

Kama kujichubua ni dhambi, basi na kuvaa wigi, hereni, kuweka nywele dawa n.k kutakua ni dhambi pia.

Au nimekosea wakuu?
 
Ni dhambi ambayo inaingia kwenye "Usiabudu Miungu wengine"

Unapojichubua ni kukana asili yako na kusema aliyekuumba hivyo alikosea.

Kuvaa mawigi, kujichubua ni kuabudu Miungu wengine.
Naomba unielezee maana ya kuabudu!
 
Si dhambi ni urembo ka urembo mwngine tu. . kama ingekuwa tunatakiwa tubaki natural kama tulivyoumbwa basi hata nywele tusingetakiwa kunyoa,,wala kucha kukata,iyo logic ya kusema n kukosoa uumbaji c kweli....nataman nikianza kujichubua nijichubue adi ulimi yan[emoji12] [emoji12]
Tumehimizwa usafi kwa hyo mwanadamu anatakiwa ajisafishe kila aina ya uchafu kwa hyo kucha ni uchafu, nywele zikizidi na kama huzishuhlikii ni uchafu
 
Tumehimizwa usafi kwa hyo mwanadamu anatakiwa ajisafishe kila aina ya uchafu kwa hyo kucha ni uchafu, nywele zikizidi na kama huzishuhlikii ni uchafu
Vipi kuhusu kuweka nywele dawa?
 
Mwenyeji MUNGU kakutegeneza uwe hivyo; kufanya ukarabati wa kuchuna ngozi iwe nyeupe ni dhambi kama vile ukikata kipande cha nyama ama ngozi mwilini mwako ni dhambi pia.
 
Vipi kuhusu kuweka nywele dawa?
Inategemea na dawa kwani dawa si makosa ila ukieka nywele dawa ambazo zitabdili asili yako ya nywele bc itakua ni kosa ila kutia dawa za kung'arisha nywele zko sio ttzo hususan kwa mwanamke sio ttzo ila asizioneshe kwa kila mtu ispokua halali yke
 
Inategemea na dawa kwani dawa si makosa ila ukieka nywele dawa ambazo zitabdili asili yako ya nywele bc itakua ni kosa ila kutia dawa za kung'arisha nywele zko sio ttzo
Sasa inakuwaje kutia dawa usoni ili uso ung'ae iwe tatizo?Sioni tofauti mkuu.
 
Back
Top Bottom