Je, kujichubua ni dhambi?

Yaani makosa kisheria
Na Dhambi kibiblia
Ila kukosoa uumbaji wa Mungu ni dhambi.. na makosa mengi tu ni dhambi.. ndio maana kuna neno MSAMAHA na KUTUBU.

Efeso 2:1 Nanyi mlikua wafu kwasababu ya makosa na dhambi zenu....

Ina maana ki Mungu kuna makosa na dhambi
 
Hahahaha wewe binti sijui jamaa hakuna kitu kama Mens na Womens...ukishasema Men umeshaweka wingi tayari na ukishasema Women umeshaweka wingi tayari kwaio hakuna haja ya kuweka 'S' mwishoni..ingawa nimetoka nje ya mada..utaniwia radhi usighafirike
 
Kuna tofauti ya kuboresha ngozi yako iwe na mng'ao asili na kubadilisha kabisa ngozi yako. Ni dhambi sababu unakuwa hujipendi. Kuna njia nyingi za asili za kuboresha muonekano wako kwa kula vizuri kuwa na utaratibu wa kujali ngozi na nywele zako
 
Dhambi: Kuvunjwa kwa makusudi amri ya MUNGU, kanisa kwa maneno, mawazo vitendo na kutotimiza wajibu.

Digest
 
We huo uweupe weupe wa wapi? Wewe umejichubua na sijawahi kuona mtu mwenye uweupe wa namna yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…