Je, kujichubua ni dhambi?

Je, kujichubua ni dhambi?

Yaani makosa kisheria
Na Dhambi kibiblia
Ila kukosoa uumbaji wa Mungu ni dhambi.. na makosa mengi tu ni dhambi.. ndio maana kuna neno MSAMAHA na KUTUBU.

Efeso 2:1 Nanyi mlikua wafu kwasababu ya makosa na dhambi zenu....

Ina maana ki Mungu kuna makosa na dhambi
 
Hey guys hili swali nimeulizwa na mtu pm nimeshindwa hata kumjibu

Siku hizi kumekua na mambo mengi abt kujichubua kwa losheni, vidonge au sabuni
Maana kuna wimbi la mens and womens kujichubua hata friends zangu wengine wanajibua ok kwangu dhidi yao naona poa tyu ila kuna jambo tena swali

hivi kujichubua ni sawa?jee ni dhambi?

Mimi sizungumzii kwa upande wangu coz mimi ni mweupe in nature siez jichubua si unajua tena ushombe shombe??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]


Haya jamani hivi kujichubua ni sawa?jee ni dhambi au sio dhambi?
Hahahaha wewe binti sijui jamaa hakuna kitu kama Mens na Womens...ukishasema Men umeshaweka wingi tayari na ukishasema Women umeshaweka wingi tayari kwaio hakuna haja ya kuweka 'S' mwishoni..ingawa nimetoka nje ya mada..utaniwia radhi usighafirike
 
Kuna tofauti ya kuboresha ngozi yako iwe na mng'ao asili na kubadilisha kabisa ngozi yako. Ni dhambi sababu unakuwa hujipendi. Kuna njia nyingi za asili za kuboresha muonekano wako kwa kula vizuri kuwa na utaratibu wa kujali ngozi na nywele zako
 
Dhambi: Kuvunjwa kwa makusudi amri ya MUNGU, kanisa kwa maneno, mawazo vitendo na kutotimiza wajibu.

Digest
 
Hey guys hili swali nimeulizwa na mtu PM nimeshindwa hata kumjibu

Siku hizi kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kujichubua kwa losheni, vidonge au sabuni. Maana kuna wimbi la wanaume na wanawake kujichubua na hata rafiki zangu wengine wanajibua na kwangu naona poa tu.

Lakini nimekuwa nikijiuliza hivi kujichubua ni sawa? Na je, ni dhambi?

Mimi sizungumzii kwa upande wangu sababu mimi ni mweupe in nature siwezi kujichubua si unajua tena ushombe shombe??[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
We huo uweupe weupe wa wapi? Wewe umejichubua na sijawahi kuona mtu mwenye uweupe wa namna yako.
 
Back
Top Bottom