Je, kukamatwa Tundu Lissu ndio chanzo cha haya yote?

Je, kukamatwa Tundu Lissu ndio chanzo cha haya yote?

Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.

Kwanini?
Katika asili ya dunia, kuna viumbe ukiwagusa unatakiwa ujiandae hasa na kwa yote.
Nchi haihitaji kila mtu ili kubadilika, huwa inahitaji mtu au watu wachache sana ili kubadilika.
 
Kwa mtazamo wa rohoni kabisa chanzo ni kukatwa kwa Lowassa 2015

Baada ya Lowassa kukatwa ndio ile demokrasia aliyotuletea Ali Mwinyi iitamatika

Sidhani kama hata Unaelewa 🐼😁
Kwa kweli sijakuelewa. Fafanua tena
 
Awamu ya tano ilishindwa kumuua Lissu kwa risasi, awamu ya sita inajaribu kwa hukumu ya kifo.
 
Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.

Kwanini?
Kutekwa na kupotezwa kwa wananchi 83
 
Naona ndicho kinaendelea. Mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache sana
JK alieahi kusema "Ni heri Dkt. Slaa awe rais juliko Tundu Lissu kuwa Mbunge "

Ikawa usiku, ikawa mchana, uchaguzi ukafanyika Tundu Lissu akachaguliwa kuwa Mbunge. Kesi ikafunguliwa kuupinga ushindi wake. Kesi ikaanza huku hujuma zikiandaliwa kila kona, Tundu Lissu akanusa akaona the matter is beyond personal, akaamua badala ya kuweka Wakili ni vyema ajitetee Mwenyewe.

Kesi ikaunguruma, Tundu Lissu akashinda, Dkt Slaa hakuweza kuwa rais, Tundu Lissu akawa Mbunge.

JK akaona aaijichumie janga bure, ana familia na ukoo vyote vinamtegemea. Akafanya kazi na Tundu Lissu kila mmoja katika nafasi na eneo lake.
 
Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.

Kwanini?
Bila shaka mkuu.....yote haya tunayoshuhudia chanzo ni Tundu Lissu kukamatwa na hali itazidi kuwa mbaya kadiri siku zinavyokwenda......Time will tell
 
Back
Top Bottom