Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Katika asili ya dunia, kuna viumbe ukiwagusa unatakiwa ujiandae hasa na kwa yote.Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.
Kwanini?
Naona ndicho kinaendelea. Mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache sanaKatika asili ya dunia, kuna viumbe ukiwagusa unatakiwa ujiandae hasa na kwa yote.
Nchi haihitaji kila mtu ili kubadilika, huwa inahitaji mtu au watu wachache sana ili kubadilika.
Kila tukio lina series of event, lissu ni first eventKama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.
Kwanini?
Kwa kweli sijakuelewa. Fafanua tenaKwa mtazamo wa rohoni kabisa chanzo ni kukatwa kwa Lowassa 2015
Baada ya Lowassa kukatwa ndio ile demokrasia aliyotuletea Ali Mwinyi iitamatika
Sidhani kama hata Unaelewa ๐ผ๐
Huenda wanazidi kuibuka๐๐Kwamba wahaini wanaendelea kujitambulisha
Kutekwa na kupotezwa kwa wananchi 83Kama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.
Kwanini?
JK alieahi kusema "Ni heri Dkt. Slaa awe rais juliko Tundu Lissu kuwa Mbunge "Naona ndicho kinaendelea. Mambo yamekuwa mengi na muda ni mchache sana
Bila shaka mkuu.....yote haya tunayoshuhudia chanzo ni Tundu Lissu kukamatwa na hali itazidi kuwa mbaya kadiri siku zinavyokwenda......Time will tellKama wewe ni mtu wa kutafakari maswala ya Causal-effect relationship inaweza kuwa rahisi kuelewa kuwa Matukio ya hivi karibuni ndio chanzo cha mambo yoote haya unayoyaona.
Kwanini?