FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?