FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Umerudia tu anachouliza.Shida wewe unaweza kuipokea vizuri halaf ukihitaji kuitumia sehemu nyingine waikatae.
Kuhusu kisheria sifahamu kama ni kosa au la!
Vijijini ndiyo wana hizo habari za kuangalia upya wa hela.Inakera sana kutoa noti safi kubwa kama elfu kumi unarudishiwa chenji noti za thamani kama noti za elfu moja zimechakaa zote, mimi nizipeleki wapi na sipeleki fedha benki? Noti zilizochakaa zinasumbua mitaani kupokelewa
Muongozo wako umeelewaka kabisa mkuuni kosa kabisa.
ndio maana ikaandikwa pesa halali kwa malipo ya kiasi kadhaa.
BOT peke yake ndio imepewa mamlaka ya kupitisha na kuharibu noti zilizochakaa,sio bishoo mmoja anayogopa hela zilizolegea[emoji1787][emoji1787].ukipewa hiyo hela ukaikataa,umekataa haki yako halali na kwa hiyari yako,hata uende polisi husikilizwi.
cha kufanya,ichukue nenda bank yoyote watakupa yenye hali nzuri zaidi.
Kikawaida ukiwa wewe ni mfanya biashara unae jitambuwa mteja akija na pesa iliyo chakaa hupaswi kui kataa unaipokea una itunza wakati wa kwenda kununua mzigo wa biashara yako una ichanya na hela nyingine una peleka, pia sidhani kama nijambo nzuri kwa wewe mfanya biashara kumrudishia mteja wako pesa iliyo chakaa mpe pesa nzuri hizo zilizo chakaa peleka unapo nunulia mzigo wao watapeleka bank.Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
Fedha ni nembo ya Taifa hivyo inapaswa kuheshimiwa na kutunzwa. Kuchakaza fedha kimakusudi ni kosa la jinai. Endepo mtu anakupa fedha iliyochakaa una haki ya kuikataa endapo haioneshi nambari yake, tarakimu za thamani yake, alama za usalama na udhibiti, taswira za tunu na vitu vingine muhimu.Mfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?
Jana kuna mdada nilimpa noti ya elfu 5 safi na noti ya elfu 2 iliyochakaa jumla elfu 7 kama malipo ya ugali nyama choma ambayo tayari nilishakula, sasa kwa kuwa aliona nina elfu 10 safi akataka agomee ile pesa chafu ili nimpe noti ya elfu 10 mpya. Mimi nikamuuliza, kwani mimi ndio natengeneza noti zenye ubora hafifu? Wakulaumiwa ni BOT sio mimi, hiyo ni pesa halali, basi akasusa na kuiacha ile elfu 2 juu ya meza, na mimi nikaikandamoza na kichupa cha toothpick na kuondoka, na chenji yangu elfu 1 nikaipotezea kwa hasira .., tuone kama hakuiruida πππni kosa kabisa.
ndio maana ikaandikwa pesa halali kwa malipo ya kiasi kadhaa.
BOT peke yake ndio imepewa mamlaka ya kupitisha na kuharibu noti zilizochakaa,sio bishoo mmoja anayogopa hela zilizolegea[emoji1787][emoji1787].ukipewa hiyo hela ukaikataa,umekataa haki yako halali na kwa hiyari yako,hata uende polisi husikilizwi.
cha kufanya,ichukue nenda bank yoyote watakupa yenye hali nzuri zaidi.
Jana kuna mdada nilimpa noti ya elfu 5 safi na noti ya elfu 2 iliyochakaa jumla elfu 7 kama malipo ya ugali nyama choma ambayo tayari nilishakula, sasa kwa kuwa aliona nina elfu 10 safi akataka agomee ile pesa chafu ili nimpe noti ya elfu 10 mpya. Mimi nikamuuliza, kwani mimi ndio natengeneza noti zenye ubora hafifu? Wakulaumiwa ni BOT sio mimi, hiyo ni pesa halali, basi akasusa na kuiacha ile elfu 2 juu ya meza, na mimi nikaikandamoza na kichupa cha toothpick na kuondoka, na chenji yangu elfu 1 nikaipotezea kwa hasira .., tuone kama hakuiruida [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kosa ndio kisheria, fedha inakosa uhalali Kama haitokuwa na nambaMfano mtu amepewa huduma fulani, ila wakati wa kulipa akatoa noti iliyochakaa (halali na haijkatika sehemu yeyote ile), endapo yule mtoa huduma atakataa kuipokea nyaraka hiyo halali kabisa ya serikali kisa imechakaa, ni kosa kisheria?