Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
H
Huyu yupoje mkuu?
Mkuu niPM jina na number ya MPESA nikutoe hata 50 ikusogeze kidogo.
Yes, alinitumia muda uleule. Awali nilijua jokes but sekunde kadhaa baada ya kumpa namba yangu alituma! Namshukru sanaaa Mungu ambariki sanaaa. Natamn nami siku moja nije nifanye wema kama huu. Namshukru sanaaa 🙏🙏🙏🙏Ndugu,
Kama ni kweli umetumia 50 huyo jamaa, MUNGU akuzidishie mara 100 ya pesa uliyotoa...
Ubarikiwe aisee
Mkuu Mungu ni mwema, acha tukomae mkuu japo tunadharauliwa sana. Hii inaumiza but watu wajue tu kuwa siyo kama tupo nyumbani tunalalamika ugumu wa maisha, noo tunahangaika jamani sema ndio hivo tena maisha hayana formula. Mungu akufungulie milingo pia mkuu, naelewa feelings zako vzr mana hata mimi ndo nayoyapitia🙏🙏🙏Soni mbele kizaa kizito
Haha mjomba umeandika theory pureMkuu pole sana na wengi tunapitia hali kama yako.
Ila kama we ni mwalimu anza kupiga hata tuition sijui eneo ulilopo ila kama uko sehemu nzuri ukianza naamini hutakosa wanafunzi hata wa 5.
Pia mkuu kama kuna shule za msingi hizi karibu yako nenda kaongee na ticha mkuu vizuri ujitolee mwisho wa mwezi hawezi kuacha kukupa hata laki pia hapo unajiongeza na mitihani ya jumamosi kwa jero hutakosa kitu naona kuna jamaa zangu wanajitolea maeneo ya huku nilipo.
Haha mjomba umeandika theory pure
Miaka mitano😅😅😅😅😅Kazi hiyo View attachment 1706705