Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.
Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?