Je, kukosea jina la kampuni kwenye Plaint kunaweza kusababisha kesi kufutwa?

Je, kukosea jina la kampuni kwenye Plaint kunaweza kusababisha kesi kufutwa?

Kijana utanisamehe, mimi siyo mwanasheria ila kwa namna unavyoongea unadhihirisha umetoka chuo juzi juzi bado una theories nyingi kichwani, hujaingia kwenye real world ukajionea.
Theories ni ni kichwa chako mwenyewe tu....

Kwaiyo kwa logic yako,kama una theory za Tanzania ambazo mwanaume kama ww huruhusiwi kuolewa...

So ukifika Holland unaweza kuolewa sio mana kule practically unaolewa na ndoa takatifu kabisa..

So, so it's either, you stick to your principles, adapt to theirs!.

Nothin is called "real world"

The shit itself is real, let alone the world!


Tatzo wengi vilaza afu nja njaa nyingi sana ndo mana janja janja...hakuna cha real world au nini

Real world ndo inakufanya kua bushie sio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m

Michael una theory nyingi kwenye kichwa chako! Nadhani we ni mgeni kwenye uwaja. Ukija kwenye real world situation mambo ni tofauti. Mteja analetwa kwako na mtu anayekufahamu! Si rahisi mteja kwenda kwa wakili bila ya mtu wa kuku introduce. trust ndiyo hiyo based on somebody!.Baada ya hapo...... unachokifanya unakijua wewe! Naona bado una good memory mambo ya darasani suppression.. limine! kutoka chuoni!
Kwanza hajui hata jobu la swali lililoletwa na mdau hapo.

Badala ya kutoa mwelekeo mzuri kwa mtoa mada anakimbilia kuattack personalities tu.
Hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom