Je, kukosea jina la kampuni kwenye Plaint kunaweza kusababisha kesi kufutwa?

Umesema ata file subject to time limitation. Hii company imeshtakiwa... wakati wamefile defense wamekosea jina.. wamepigwa po. Jibu lako umesema itaondolewa lakina watakua na uwezo wa kufile “subject to time limitation” ... unamaanisha nini!? Au sijakuelewa.
Hajaelewa mada ila aliamua kuchangia anyway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa anakuja kumuuliza nani huki wakati aliweka advocate wa kudraft?
Ina mana anaeeka advocate alafu hamuamini??

Yani bush lawyers bana unaingia service agreement na mtu bila kuestablish Trust katk Attroney-Client relationship???..?.???????????

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ya trust ni yako, mteja atajuaje wakili mwaminifu? Tena unaweza ukakuta kuwa siyo bush lawyer, ni wakili , lkn ndiyo hivyo. Kuna mawakili humu JF unaona argument zao unajua kuwa kuna majanga hapa! Unaona clerical/typo errors, umeandika attroney ... haya ya kawaida! all in all mjibu swali lake.
 
Mkuu mbona unaaibisha profession kwa arguments zako ambazo hazipo lawyerly!

Wakili una jukumu la kuestablish TRUST followed by ATTORNEY-CLIENT RELATIONSHIP kabla ya kuchukua hela au kumsainisha client SERVICE AGREEMENT...

Your client needs to trust you first before taking his case....

if not, how in the world will you be able to litigate successfully the case ambayo the client doesnt even trust you?

Unawezaje kupata material facts necessary to litigate kama mteja hakuamini eneough to tell you his story?

Aisee ...is that what they tought in Law school??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
m

Michael una theory nyingi kwenye kichwa chako! Nadhani we ni mgeni kwenye uwaja. Ukija kwenye real world situation mambo ni tofauti. Mteja analetwa kwako na mtu anayekufahamu! Si rahisi mteja kwenda kwa wakili bila ya mtu wa kuku introduce. trust ndiyo hiyo based on somebody!.Baada ya hapo...... unachokifanya unakijua wewe! Naona bado una good memory mambo ya darasani suppression.. limine! kutoka chuoni!
 
Siku utayopata legal malpractice ndo utajua kua ngoma ni wewe na mteja na uyo aliyemleta kaingia mitini.

"Trust based on somebody" ndo utajitetea hivo kwenye tort ya legal malpractice?

Huoni kama wewe afisa wa mahakama utakua unethical kwa kujaribu kuintroduce hearsay evidence?
Au una uhakika iyo " trust based on somebody" imekidhi exceptions za hearsay??

Ishu sio kua ni mgeni au nina theory nyngi ishu ni kufanya kazi kwa mazoea na janja janja nyingi...why cant u be professional? Njaa njaa za nini wajameni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni kwa michango yenu mzuri. Pia nashukuru kwa kuniweka katika kundi lenu la "mawakili wasomi" ingawa ingawa sina hadhi hiyo maana mimi si mwanasheria. Majibu mengi yamekuwa yakilaumu kwamba inakuwaje mimi wakili msomi hilo silijui?mmoja kaniita wakili mzuri. Asanteni sana.

Ukisoma vizuri text yangu utaona nimesema "aliye draft akaacha AGENCY " , kumbe hapa ungejua kuwa tuliajiri mwanasheria, sisi sio. Pia tulimpa document zote, lakini kutokana na labda kupitiwa akaacha neno moja katika jina la kampuni. Nadhani alipitiwa kama mlivyopitiwa ninyi wengi wenu pamoja na kuwa wasomi mmeelewa kuwa sisi ndio wadaiwa, mkaaelekeza mashambulizi bila kusoma vizuri mantiki ya kinachosemwa. (hapa nakubaliana nanyi kuwa mawakili wengi mna matatizo ya kukosa umakini)

Mpaka hapo wasomi mmeshindwa kunipa jibu.
 
Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.

Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
Nenda kaombe kufanya amendment tu, it is a minor clerical error
 
Tatizo la wanasheria wako very pompus!

Kuna haja gani kumshambulia mleta mada kiasi hicho. Mnapenda sana kuhukumu shortcircuitly.
 
Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.

Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
Hiyo ni dosari inayoweza rekebishika yaani curable defect, mnachopaswa kufanya pelekeni maombi ya kuomba kurekebisha kwa mujibu wa kifungu cha 96 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya madai, dosari ama makosa yatokanayo na uandishi, uchapaji, kukosea namba ama ufasaha wa maana yanarekebishika na hilo linaangukia katika msingi huo wa kisheria...
 
Take no more? atakula kwako? unakuwa kama hujui kutafuta hela? Advocate hakatai kesi labda kama ya "wizi wa kuku", lkn kesi kutoka kampuni ambayo itamlipa vizuri ataichukua na kuvurunda za hela ndogo.. I am talking from experience!
At the end of the day, what is the legacy of it?
 
Siku utayopata legal malpractice ndo utajua kua ngoma ni wewe na mteja na uyo aliyemleta kaingia mitini.

"Trust based on somebody" ndo utajitetea hivo kwenye tort ya legal malpractice?

Huoni kama wewe afisa wa mahakama utakua unethical kwa kujaribu kuintroduce hearsay evidence?
Au una uhakika iyo " trust based on somebody" imekidhi exceptions za hearsay??

Ishu sio kua ni mgeni au nina theory nyngi ishu ni kufanya kazi kwa mazoea na janja janja nyingi...why cant u be professional? Njaa njaa za nini wajameni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee una tambo mingi sana.

Too pompous.

Lakini unazungumza ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyo kilaza makosa yako huyaoni!!
Ukionionesha kosa langu moja ndo nitaona otherwise uwezo wako tu wa kushindwa kuandika somo lililokusumbua nimeshajua ww ni mtu wa aina gani.

Eti legal draft
Huoni hata aibu kujiita wakili msomi??

Sema sikulaumu sana maana we ni mtu wa equivalent so naelewa background yako kielimu iko vp....

Have a Nice Day!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku utayopata legal malpractice ndo utajua kua ngoma ni wewe na mteja na uyo aliyemleta kaingia mitini.

"Trust based on somebody" ndo utajitetea hivo kwenye tort ya legal malpractice?

Huoni kama wewe afisa wa mahakama utakua unethical kwa kujaribu kuintroduce hearsay evidence?
Au una uhakika iyo " trust based on somebody" imekidhi exceptions za hearsay??

Ishu sio kua ni mgeni au nina theory nyngi ishu ni kufanya kazi kwa mazoea na janja janja nyingi...why cant u be professional? Njaa njaa za nini wajameni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana utanisamehe, mimi siyo mwanasheria ila kwa namna unavyoongea unadhihirisha umetoka chuo juzi juzi bado una theories nyingi kichwani, hujaingia kwenye real world ukajionea.
 
Back
Top Bottom